Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bora tufungwe tu Ole afanye usajili wa maana.Man inahitaji class players kama wanne.
 
Ole ni fala sana kulikuwa na haja gani ya kutowaanzisha shaw bruno cavani nk
 
Yaani timu imefungwa lakini wanavocheza ni kama wameshinda wao hakuna pressing kabisa nadhani tatizo la kwanza ni kocha
 
UJINGA WA KOCHA HUU..NA HII NI MARA YA PILI, KWENYE UCL ILE MECHI YA MUHIMU ILITAKIWA TUSHINDE KWA NJIA YOYOTE AKAWEKA WATOTO(lina van de beek na martial) TUKATOLEWA, LEO THE SAME THING. HUYU KOCHA HAJUI HIZI MECHI ZA MTOANI NI KAMA FAINALI? WENYE LIGI UKIPIGWA WIKI IJAYO UNAPAMBANA UNASHINDA. HII UKIPIGWA UNAONDOKA MOJA KWA MOJA MPAKA MWAKANI. pambaf sana OGS.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Iheanacho kawa mcharo mechi ya nne sasa anafunga mfululizo, na kahusika na magoli 8 katika mechi 4. Yaani ni hatari sana
 
Huyu mmasai ndo atatufikisha nchi ya ahadi tumvumilie jaman Nyumbu wenzangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…