Maguire huyu jamaa sjui wa wapi? Sasa unampaje mtu pasi kwenye penalty box wakati nyuma yake kuna mtu na hawezi ku turn ? Yeye ndo anayeona mbele Fred hana macho kwenye kisogo yani jamaa useless kabjsa
Van de beek amefeli hawezi kubadilisha kiwango chake hata kukimbia ni shida.....Martial shida, matic umri umeenda....fred anamisplace pasi nyingi, maguire shida....hatuwezi fika popote na hao watu
Hivi Huyu OGS huwa ana matatizo ya akili nini mpuuzi huyu, inamaana hajui hata kupanga kikosi kwa ajili ya mechi muhimu aiseeeee. Yani kwenye mechi muhimu zote huwa anazingua kupanga kikosi. Unaanzaje Fred+Matic wakati kati yao hakuna hata mmoja mwenye uwezo wa kupiga pasi zinazoeleweka.