Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kama hatuna mpango na Dalot basi huyu dogo aletwe..
kwa mawazo yangu:
ikiwa tunahitaji mlinzi atakayeweza kumletea ushindani wan bissaka kwa haraka zaidi kama ilivyokuwa kwa luke shaw basi tunahitaji mlinzi mwenye uzoefu wa soka la ushindani.

  • kama tuna pesa ya kuchezea kwenye dirisha lijalo la usajili itapendeza zaidi kama tutamfuata achraf hakimi
  • kama tuna pesa ya maliwazo si vibaya kama tutawapa leeds paundi millioni 5- 10 ili watupe luke ayling, umri wake ni miaka 29 (ni backup nzuri huku tukiwasubiria vijana wengineo wakomae)
  • kumsajili max aaron kwa paundi millioni 30 au zaidi (tukumbuke huyu ni mtoto wa england) ni kufifisha ndoto za vijana wengine wenye uwezo mkubwa mfano ethan laird aliye kwa mkopo. Ethan ameonyesha nidhamu kubwa sana ya kiuchezaji huko alipo.
  • max aaron hana uwezo wa kushindana na wan bissaka, tutakuwa tunafanya kosa lile lile la kutumia gharama kubwa kwa mchezaji ambaye hajawa tayari kimapambano.
  • tukiachana na madhaifu yake yule wan bissaka ni mwendawazimu (anahitajika mwanadamu mgumu wa kupambana naye)
 
hizi taarifa zinazomuhusu edison cavani kukataa mkataba mpya zina uthibitisho wowote?
kama ni kweli naamini litakuwa ni pigo kubwa sana kiupande wetu cause hakuna asiyefahamu ugumu wa ed woodward linapokuja suala la usajili wa mchezaji.

akiondoka cavani atakuja mchezaji gani atakayepatikana kwa bei inayoendana na hali ya corona?
  • unamtaka mchezaji aina ya sancho
  • unamtaka mchezaji aina ya haaland
  • unamtaka mlinzi wa kulia
  • unamtaka mlinzi wa kati
  • unamtaka midfield mfano wa grealish.
hizo ni paundi million kadhaaa
=====================
zipo taarifa zinadai ya kwamba inter milan wanadaiwa takribani paundi millioni 40 kwenye usajili wa lukaku, kuna umuhimu wa kuwabana inter milan walipe hela wasiokuwa nayo au watupe mchezaji mmoja muhimu atakayeendana na mahitaji
 
Luis Cavani (Edinson's Father): "My son does not feel comfortable in England and wants to be close to the family again.
There is a 60% chance a deal will be reached with Boca. Edinson had many conversations with Riquelme and he would like to play for Boca. Edinson will end up playing in South America.
 
Inashangaza...
Unamtoa dalot halafu unamuacha bissaka bila mbadala.....
Ivi james kamzidi nini dalot mbio ama
Dalot ana playing style ambayo Ole haishabikii. Hii ndiyo sababu hata kwenye deal ya mkopo kwa Milan, United ilikuwa ikisisitiza kuwepo buy option baada ya kushindikana kumuuza mazima. Majeruhi ni kisingizio tu.

Dalot hachezi mpira wa kiingereza wa kukimbia kimbia kama Bissaka au James. Yeye anakokota mpira kwa kasi ya kawaida huku akiwapunguza watu njiani. Sasa huo si mpira Ole anataka. Ole anataka runners na ndiyo sababu alipofika tu akaweka bayana kuwa anataka United ndiyo iwe timu ya epl inayokimbia zaidi.

Pia ujue kuwa Ole hajui ku-pick wachezaji wazuri. Hana huo uwezo. Angalia uwezo wa wachezaji wanaotakiwa na makocha kama Pep, Carlo, na Jose halafu fananisha na Ole. Hakuna kocha anayejua anachofanya angesajili Daniel James au Bissaka kwenye kikosi cha timu inayoshindania ubingwa.
 
UNITED APPOINTS FOOTBALL & TECHNICAL DIRECTORS.

Manchester United is pleased to announce the promotion of John Murtough to Football Director and Darren Fletcher to Technical Director, two new roles that will further strengthen the club’s football operations.

John will have overall leadership and responsibility for operations and strategy across all football functions, reinforcing the strong foundations already in place. This appointment builds on the work John has already undertaken in recent years, working closely with Ole Gunnar Solskjaer and the rest of the football staff to create the structures, processes and culture to deliver sustained success on the pitch. This has included successful overhauls of the club’s Academy and recruitment department.

Darren will work closely with John to add technical input and direction into all football and performance areas. He will focus on a co-ordinated and long-term approach to player and squad development, helping maintain the integral link between the Academy and the first team, aligned with Manchester United’s values and culture.

As Football Director, John will work day-to-day with Ole to align recruitment and other strategies and to ensure that the first team has the best-in-class operational support it needs to succeed.

Ole will continue his role in the recruitment process, supported by extensive scouting and data analytics functions that will continue to report to John. Matt Judge will also report to John, with a new title of Director of Football Negotiations.

Ed Woodward, Manchester United Executive Vice-Chairman, said: “These are hugely important appointments that reinforce the progress we have been making as a club in recent years in our relentless pursuit of success.

“We have already made great strides forward in the way we run our football operations, and the benefits are visible in the resurgent pipeline of Academy talent reaching the first team and through our improved recruitment record. John has been integral to our progress in all these areas and his deep understanding of development ensures the club’s traditions of bringing young players through from Academy to first team will continue. This new position is a natural evolution that harnesses his leadership qualities and his years of experience in the game.

“Darren’s stellar achievements as a player and his own journey from Academy to Premier League and Champions League winner means he naturally commands respect and understands this vital part of the club’s DNA. In this new role, the first in our history, he will deliver technical advice across all aspects of the football department as well as contributing to the communication and delivery of our football philosophy across all areas of the club.

“I am delighted that John and Darren have accepted these roles and I look forward to the contribution they will make, together with Ole and the rest of the staff, as we build toward future success.”

John Murtough said: “This is such an exciting time for everyone at Manchester United with the first team, Academy and Women’s team all performing strongly, and plenty of development still to come. It’s a privilege to be part of that process, and an honour to lead Manchester United’s football department, working alongside Ole, Casey and so many other truly outstanding staff all dedicated to delivering success to this club.”

Darren Fletcher said:

“It is great to be back with the club and I am delighted to be taking on this new role. We are moving in the right direction and I am looking forward to continuing to work with Ole and his coaching team, and now with John as the Football Director, to help bring young players through and further develop the football side of the club. It’s fantastic to see that all the staff here are driving Manchester United forward towards a new era of success.”
 
Hizi ni habari njema kwa kila shabiki wa United popote pale duniani.
 
Hapa ss safi lazima twende na dunia inavyotaka ili vi7bu 7bu vya hovyo hovyo vikosekane, km team inaboronga wahusika watiwe hatiani.
 
Habari njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…