10 points clear..tumeshaachwa vibaya sana.
Tupambane tu sasa tusitoke nje ya top four..maana mwisho wa msimu tunaweza kujikuta tunacheza Europa League tena next season.
Matchday pia leo..vs Real Sociadad.hizi timu za Spain huwa zinatutesa sana na mpira wetu huu wa kuunga unga..Anyway,let's wait baadae.