Absolutely. Fo sho!Kuanzia sasa Ole na wachezaji inabidi wafanye firing ya hatari..tofauti na hapo mwisho wa msimu tutashika tu tama na hatutoona improvement yoyote ya maana bila trophy..na position ya Ole itabidi iwe questioned
✓FA CUP
✓Europa League
✓EPL(inabidi tuende bamba to bamba mpaka mwisho tuone tutakuwa nafasi gani)
Hawa jamaa hali ni tete. Kuna kipindi walituzidi zaidi ya 10.Jogoo amechinjwa day! Safi sana.
Mimi niliwahi kusema hawa ktk recruitment model yetu waingereza tuwawekee red flags.Waingereza wanapenda kupigana promo sana
acha na huo utopolo..weka Raphael Varane hapo awe partner na BAILLY uone tutakavyokeep cleansheets za kutosha
Dayot Upemecano amemalizana na Bayern tayari atajiunga nao tar 1 mwezi wa 7.Upamicano.
Ila mings na yeye huwa namuelewa sana.
Tukishinda kesho tunawaacha point 8Hawa jamaa hali ni tete. Kuna kipindi walituzidi zaidi ya 10.
Tatizo tm yetu hainaga guarantee.Tukishinda kesho tunawaacha point 8
Mdau wanishangaza upo bize kuiangalia liva kuliko city......sijui lengoni kutwaa ligi au kumaliza nafasi ya pili msimu huu..Tukishinda kesho tunawaacha point 8
Yaan hata Liver angekua wa mwisho kwenye ligi ningeendelea kufurahi kufungwa kwake.Do you know why?Mdau wanishangaza upo bize kuiangalia liva kuliko city......sijui lengoni kutwaa ligi au kumaliza nafasi ya pili msimu huu..
Keshazoea huyo.Naona Liverfool kafa tena
Kipigo cha kujitakiaMourinho kawa mdebwedo leo hata tusibane mbupu maana ataliwa kirahisi tu na Pep..
Mashabiki wa man u kweli mnaroho ya PakaJapokuwa Ole amekuwa akitu-disappoint sana ila nimefanya observation. Tuna nafasi kubwa sana ya kubeba ubingwa msimu huu.
Tunahitaji kushinda mechi 13 ktk ya 15 zilizosalia. Kuanzia weekend hii, safari ya ubingwa itaamuriwa kuelekea michezo mitano ijayo kati yetu sisi na Manchester city.
Manchester City;
Tottenham (leo), Everton (J'5, feb 17), Arsenal (J'2, feb 21), West Ham (J'mosi, feb 27) na mwisho atacheza na sisi (mar 6).
Kitu cha muhimu hapa tusifanye makosa mechi tano zijazo. Hawa wapuuzi naamini kabisa watafungwa mechi 3 kati ya hizo tano.
Pep timu yake inacheza with 100% commitment na kwa umakini mkubwa,na akili pia..work rate yao pia ni ya hali ya juu kabisa..Gundogan yuko fire vibaya mno utadhani ni striker asee dah city kawasha moto sijui kama kuna kumkamata tena.
Nilitaka kuonyesha dynamism ya ligi msimu huu kuwa kuna muda tulizidiwa point kumi na Liverpool na sasa tunaenda kumzidi kwa point nane yeye..Mdau wanishangaza upo bize kuiangalia liva kuliko city......sijui lengoni kutwaa ligi au kumaliza nafasi ya pili msimu huu..
Pep ana miaka kumi ya kuiburuza epl anavyotaka.....Nilitaka kuonyesha dynamism ya ligi msimu huu kuwa kuna muda tulizidiwa point kumi na Liverpool na sasa tunaenda kumzidi kwa point nane yeye..
Kubeba ubingwa hatuwezi,hizi zitakuwa ni hekaya tu tunaziandika humu..tukomae tumalize nafasi ya pili tu.
Gundogan yuko fire vibaya mno utadhani ni striker asee dah city kawasha moto sijui kama kuna kumkamata tena.
Tangu Rui Faria ameachana na Mourinho mwaka 2018 na Mourinho amekuwa na timu dhaifu kuliko kawaida.Mourinho kawa mdebwedo leo hata tusibane mbupu maana ataliwa kirahisi tu na Pep..