Manchester United (Red Devils) | Special Thread

NANI MWINGINE AMEGUNDUA VAN DE BEEK TUMEPIGWA?
mzembe sana.
DE Beek = Martial
 
Muda mwingi anautumia bench huo mpira tutaona wap rashford anapata sana dakika kwa nn?
Rashford kila siku anafunga or assist. Hii kwake ni lazima. Huyu ameanza mechi kadhaa hakuna kitu kabisa.
 
SIJAWAHI KUONA MPIRA WA OVYO KAMA HUU, UMEPOAAAA...
YAANI DAKIKA 90 HAKUNA YELLOW CARD HATA MOJA?
Mbele yalikuwa yale matoto mawili unategemea nn? Lingine linashindwa hata kukimbilia mpira linauwacha mpira unatoka mpk kocha kashangaa, toto vivu km limefungwa mawe mguuni, mi hili toto linanikera mm hili.
 
★mkuu hujamuelewa jamaa kasema "muda mwingi anakuwa benchi huo mpira tutauonea wapi!!"
alimaanisha DVB afu sasa akauliza "Rashford anapata muda mwingi kwanini???" ko kaongelea watu wawili kwa wakati mmoja★
Una chuki binafsi na Rashford, ulitaka Van De Beek acheze nafasi ya Rashford ?
 
★mkuu hujamuelewa jamaa kasema "muda mwingi anakuwa benchi huo mpira tutauonea wapi!!"
alimaanisha DVB afu sasa akauliza "Rashford anapata muda mwingi kwanini???" ko kaongelea watu wawili kwa wakati mmoja★
Kwnz vdb anacheza vzr sn co mbinafsi km haya matoto mawili, alafu wakuu nakumbusha tu kwamba Maguire tulipigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…