Usiwe kama hujui mpira ...hembu jaribu kumuelewa anachokuambia
Ritz, Beki mbovu hao watu hawawezi kuiunganisha timu...kwani ye kasema mwaka jana hawakuwepo? TEam imekosa communication sio mbele kati wala nyuma, na msipoangalia mechi hii nayo mnainamishwa kibra!!