Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,731
Kwani we unaangalia mpira gani?Pepe leo anawatia
mwenye link aweke hapa nifuatilie mpambano, wengine tuko makazini
Kwani wamebisha sasa???[emoji3][emoji3][emoji3]Pepe leo anawatia
Wanaendelea kubana mapaja.Oyaa ngap ngap matakataka..
HahahahahahahahahahhaaYaani uchukue ubingwa na Rashford sijui Tuanzebe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakuwa sio heshima walahi
shukran mkuu, ngoja nianzie second half
VdB??Sure thing naona Greenwood au VdB wam-replace mapema.
Sawa GigyIkikuuma chomoa
Hutuna kocha hapaSielewi kwanini hata afanyi sub