Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Narudia tena, Nyumbu hana uwezo wa kuifunga Fulham ya Scott Parker ndani ya Craven Cottage stadium.
 
Hawa FUL wameelewana sana katika game 5 zilizopita, utashinda kwa mbinu sio kwa janja janja.

Kuna nyumbu mmoja hapo juy anafikiri kwa hawa ndio atapata goli nyingi.. mbaaf kabisa!!
 
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA HAHAHAHAHAHAHAHAH HAHAHAHAHAHAHAHA........Manchester United hii ichukue EPL Mimi nk itaacha kushabikia Mpira kamwe.
 
VAR haina kazi tena.
Rejea game ya Man City vs Aston Villa
Wewe nintakataka unajua offside kweli wewe

Unajua mashabiki wa man u ni vilaza ,unawazid marefaa na wameochezesha game nzima

Kwa akili zako lile goli ni offside ,yule beki wa astonvilla kaiua offside kwa kuucheza mpira ,kwanyanganywa offside ikawa kwisha

Nyumbu ni nyumbu tu hawaelewi

Kuweni na akili za kuchambua mpira sio kushabikia huku akili iko matakoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…