Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mmekubali sasa uhuni wa Burnley no tactics at all,yenyewe ni physical na hoofing the ball to the box..siipendi kinoma.

Rashford anachezaga utoto sana at times na kocha ni kama vile ana muogopa..

Martial kipaji kipo ila sijui ana shida gani..yupo kama kalogwa vile.

Diallo aanze kuintrojuziwa mapema labda naye in few months to come ataleta competition.
 
Dah! Kwa hiyo hii thread ndo wageni tunajiondoa taratibu

Hongereni kwa kuongoza ligi baada ya miaka zaidi ya 8 huko.

Nawashauri muisevu table sasa hivi ili mbaki na kumbukumbu kwamba mliwahi kuongoza ligi.

Wageni wametimua mbio wakati tunajiandaa kuwapakulia ubwaubwa wa maharage na matembele 😂😂😂 🍵
 
Ukweli mchungu ni kwamba kwa kikosi hiki bado ni ngumu sana kumaintain nafasi tuliyonayo..wachezaji watachoka sana EUROPA LEAGUE IKIANZA(mechi za katikati ya wiki)

Bado tunahitaji kikosi kipana chenye QUALITY PLAYERS ambao wanaweza kutupa ushindi in Absence of BRUNO maana bila yeye timu haiendi..

KUMBUKA!;WIKI IJAYO TUTAMPIGA LIVERPOOL NYUMBANI KWAKE PALEPALE ANFIELD(How sweet
)

GGMU GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…