Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Ni ndoto nzuri sana, kiushabiki hizi zinaruhusiwa.
 
Nunua kaniki na tunguli nikutafutie wateja wa ramli
 
Nje ya uwanja wake wa nyumbani liverpool asingeweza kumfunga spurs kamwe liverpool nyumban miaka hii 3 kafanya vizur nje ya hapo ni hoi msimu huu
 
Nawambie tu mkiona Man City tumekamata usukani hapo juu, basi mtabaki mnalia nyie na ole na Mungu wenu

Ndio epl itakuwa inaenda etihad namna hio


Hata Kama zitakuwa zimebaki game 10 ,city tukisimama kule juu, mtabaki mnaombea kufugwa sisi tunatoboa tuu
 
Liverpool wakiwa wamelala wkt huo? yeah right
 
Nyie Man Utd mnapendelewa kudadeki


Watu wanakaa siku moja ndio wanacheza game nyie mmepewa siku kibao toka jmosi hadi jnne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…