Manchester United (Red Devils) | Special Thread

✓Kushindwa kupata goli kwenye ile first half ni ujinga mtupu..

✓Pogba akitulia huwa anasambaza mipira vizuri kweli.

✓VdB nimemcheki kwa muda sasa bado hakuna kitu special anachoongeza kwenye timu..Sijui lakini tumpe muda

✓Kikosi kipo wakuu..just imagine tumefanya 9 changes kutoka kwenye kikosi kilichoanza vs Leeds.

✓Martial was good once again..



Next stop ni kwa Leicester City..another must win game for us..Leicester tunawawekea mziki mnene tena..Squad yetu imebalance sana for the mean time

GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…