kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 6,147
- 15,771
Tunaangalia consistency mkuu ,,,, kufungwa Ni kufungwa tu , haijalishi goli ngapi , kikubwa Ni kwamba umepoteza points !!!!!Arsenal zaidi ya hoi? Liva kapigwa 7, city 5, man u 6, dortmund 5 (na kocha kafukuzwa), barca 8 (na kocha, mgt na wachezaji wamefukuzwa, madrid kapigwa nje ndan na shakhtar kapita kimungu mungu, man u kajikuta europa, inter kashindwa hata kuja europa na msimu uliopita walifika fainali, bayern kala nne juzi kasuluhu kizembe kwa kuanza kuongozwa.
Ligi tano bora wanaoongoza siyo waliozoeleka na wengine wanapishana
Arsenal na uhoi wote bado haijafungwa zaidi ya goli tatu katika mechi moja.
Points nimepoteza kweli yaani si kipolepoleTunaangalia consistency mkuu ,,,, kufungwa Ni kufungwa tu , haijalishi goli ngapi , kikubwa Ni kwamba umepoteza points !!!!!
Aki hapo umepeana "ujinga"..Arsenal zaidi ya hoi? Liva kapigwa 7, city 5, man u 6, dortmund 5 (na kocha kafukuzwa), barca 8 (na kocha, mgt na wachezaji wamefukuzwa, madrid kapigwa nje ndan na shakhtar kapita kimungu mungu, man u kajikuta europa, inter kashindwa hata kuja europa na msimu uliopita walifika fainali, bayern kala nne juzi kasuluhu kizembe kwa kuanza kuongozwa.
Ligi tano bora wanaoongoza siyo waliozoeleka na wengine wanapishana
Arsenal na uhoi wote bado haijafungwa zaidi ya goli tatu katika mechi moja.
Roy niaje mzee..msalimie carragher hapo skysportHujui unachoongea wewe.
Hua unatia huruma ukiwa unazunguka humu unatukana na nikikuuliza maswali hata kujibu hauwezi kwa uchungu unavyokukaba rohoni.Aki hapo umepeana "ujinga"?..
Form ya Arsenal haiwezi kufananishwa na form ya hizo timu kubwa ulaya ambazo zinasuasua.
Mkuu una roho ya chuma aise kama sio Limbwata la Arsenal pale LondonHua unatia huruma ukiwa unazunguka humu unatukana na nikikuuliza maswali hata kujibu hauwezi kwa uchungu unavyokukaba rohoni.
Leo umejitokeza mapema nahisi una imani mtashinda. Mi sijafananisha nimeonyesha jinsi timu zinavyohustle.
We timu gani kwanza? Nisije nikakuchanganyia mbogaMkuu una roho ya chuma aise kama sio Limbwata la Arsenal pale London
Swali gani sijajibu mkuu??...Hua unatia huruma ukiwa unazunguka humu unatukana na nikikuuliza maswali hata kujibu hauwezi kwa uchungu unavyokukaba rohoni.
Leo umejitokeza mapema nahisi una imani mtashinda. Mi sijafananisha nimeonyesha jinsi timu zinavyohustle.
Karaga siku si nyingi tutatupiana Makonde !Roy niaje mzee..msalimie carragher hapo skysport
Chief Arsenal sasa hivi inafight kutoshuka daraja na kuwavutia potential players. Yaani ni kwamba ukishindwa kuifunga Arsenal hii wewe ndiye mwenye matatizo.Swali gani sijajibu mkuu??...
Nimeona hapo juu umejitetea kuwa timu nyingine zinahustle na Arsenal haipo level za Liverpool au City..sasa mkuu ndo ya kufungwa mechi 7 kati ya 13?
Anyway..
We ng'ombe na utoke kwa shemeji yako.. unafatilia mpira live score hujui chochote kuhusu mpira.Wewe unajua nini
Kenge wewe