Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Unaacha kuuguza kwenu unahangaika kwenye nyumba za watu. Ona sasa mgonjwa katutoka kiss Uzembe wenu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mambo magumu Sana EPL,,,,
Timu yoyote ile inakuadhibu muda na wakati usiotegemea

Hesabu zinagoma !!
Chelsea wamelambwa Tena ,,,,
!!!

Hopefully klopp atadrop points kesho,,,

Mdogo mdogo tutalewana tu ,,,,

Gemu ya liva na spurs draw itakuwa fair results for us, ikibidi liva wakatwe kichwa, spurs tutamkamata tu huko January, akipata injury (key players) atapoteana !!


#GGMU
 

Mzee tatizo ni OLE na Ukuda wake. Mbona akipania inawezekana.

Au vipi tufanye Ole Out Ole Out mpaka January
 
Mzee tatizo ni OLE na Ukuda wake. Mbona akipania inawezekana.

Au vipi tufanye Ole Out Ole Out mpaka January
Ole akiwa serious hatupotez points kizembe mkuu ! Utashangaa game ya shiefild anakuja na kina Mata , James na ighalo,,,,!

Pale timu inapohitaji matokeo anazingua , wacha tuone !! No excuse , !!!

Khs #oleout sahau mkuu
, juzi Kati Ed aliongea akasema timu ipo salama chini Yake ,,, wataendelea kumsapoti
 
Kwahiyo na ww unawazia ubingwa
 
Huu ndio uchawi, shinda game zako mapema usisubiri Tottenham akubebe kama mwaka jana kwa Leister.
 
man u kileleni ashinde kesho then kiporo tushinde then tuombe draw liver afee mana Tottenham ni
mkee wa jirani penzi lazima atoe

tatizo ni uyo gosweee penzi kitovu cha uzembe olee anaweza panga kitu cha ajabu kesho tukaduwaa wote
game ya kesho ni yakushinda nyingi sanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…