Mh leo sidhani kama tutafanya la maana kwa hiyo systemSeems Diaomond leo, Press vs press
Makocha sikuhizi wanatanguliza mapenzi sanaKocha wa timu yetu ni mpumbavu kweli kweli kila anapojaribu kumpanga greenwood na kuacha watu wa maana bench huwa anapata aibu cavan ni bora sana au ighalo kwa greenwood nguvu na hata umiliki wa mpira
Pole Marehamu alikataaa kunywa mseto kilichomkuta ni hikoDuuh tunachezea kichapo[emoji25][emoji25][emoji25]
Hata mie cjuiKwa nini inakuwa hivi