Argentina wangekuw mabingwa wa copa amarica kama mess angepata penat huu mjadala ni wa kitoto kwa watu wa mpira hivi epl kuna timu haijapiga penat na ikashinda? Nitajie timu iliyokataa penat baada ya mwamuzi kutoaSasa kwann mnategemea penalti tu? Kwan safu yenu ya ushambuliaji haiwezi kufunga mpaka mpewe penalti.?
Hii picha naipenda sana 😂😂😂Beki la dunia lenye thamani ya shilingi paundi milioni 80 katika ubora wake.View attachment 1632094
Labda unamaanisha Rashford mwingine siyo Marcus Rashford MBE ?Hili jambo OGS hajawahi gundua hata siku moja. Rashford ni mzuri sana akiwa kati.
Ligi bado haijaishaHivi Socha atatupa nini na lini?
EPL?,UEFA?
Inasikitisha sanasasa 3-5-2 anamkaba nani na west brom? formation hii ni defensive zaidi.
Hebu tuwekee lineup kwa kutumia hii formation uliyopropose tuoneSio kweli unachokisema mkuu, ni kwmb 3-5-2 inakuwa na beki 3 viungo 5 (3 Central midfield and 2 outside midfield) na forward wawili.
Cavani haeleweki ?Hatuna straika kabisa wa kueleweka..
Angekuwa wakueleweka Martial asingekuwa first choice no.9Cavani haeleweki ?
OGS hamna kocha mule, yaani ushindi wa jana 1 - 0 ndio ushindi wa kwanza OT msimu huu, anang'ang'ana na 4-2-3-1 wakat haumpi matokeo, sielew mazoezin uwa anawafundisha nin vijana? Maana tukicheza na hata underdog tunapata ushindi kwa tabudah ila negativity za huu uzi wetu ni top level, kipindi cha fergie mechi kama hizi zinaweza zidi hata 10 kwa msimu, nimeshuhudia Man U kuanzia mwezi wa 11 mpaka wa kwanza hatujui ushindi zaidi ya 1-0 zaidi ya mwezi, tena magoli ya lala salama.
kuna siku mnacheza vizuri mnashinda, na kuna siku perfomance inakuwa mbovu unakubali hata 1-0.
liverpool msimu uliopita majority ya mechi zao walishinda kama hivi, even spurs mechi iliopita na wes Brom walikuwa kama sisi.
Dogo leta picha zingine hizi tumeshazizoea.NYUMBU kama NYUMBU View attachment 1632106
Sasa atamuweka nani ?Angekuwa wakueleweka Martial asingekuwa first choice no.9
Hii tafsiri yake nini mkuu ?washambuliaji wetu wana conversion rate ya 7.7 kwa mashuti waliopiga tokea msimu uanze.
Ukweli ni kwamba Anthony Martial msimu huu yuko hovyo sana tena sana.jicho langu dhaifu linaniambia antony martial hakuweza kushinda mpira wowote aliowania dhidi ya adui ambao ulipigwa nje ya sehemu aliopo. sijui ni uvivu au ni ulegevu?
mechi yetu dhidi ya west ham sijui itakuaje hiyo siku. wale jamaa jana walikuwa wanacheza watano pale nyuma na umeona jinsi tulivyokuwa ovyo kanakwamba hatukufanya maandalizi yoyote. sisi tunakuwa bora zaidi tunapocheza na timu mfano wa everton(timu zinazoruhusu kukimbizwa).. next match ni southampton ambao msimu uliopita tulivuna suluhu mechi zoteOGS hamna kocha mule, yaani ushindi wa jana 1 - 0 ndio ushindi wa kwanza OT msimu huu, anang'ang'ana na 4-2-3-1 wakat haumpi matokeo
Kibaya zaidi sioni dalili za yeye kufukuzwa, yaani Koeman kule Barcelona atafukuzwa mapema kabla ya OGS
Point yangu ni kuwa wote hao sio solution..tunahitaji straika kama HaalandSasa atamuweka nani ?
Mkuu timu yetu tatizo siyo kina martial wala mchezaj yeyote, tatizo ni OGS tumechi yetu dhidi ya west ham sijui itakuaje hiyo siku. wale jamaa jana walikuwa wanacheza watano pale nyuma na umeona jinsi tulivyokuwa ovyo kanakwamba hatukufanya maandalizi yoyote. sisi tunakuwa bora zaidi tunapocheza na timu mfano wa everton(timu zinazoruhusu kukimbizwa).. next match ni southampton ambao msimu uliopita tulivuna suluhu mechi zote