dah ila negativity za huu uzi wetu ni top level, kipindi cha fergie mechi kama hizi zinaweza zidi hata 10 kwa msimu, nimeshuhudia Man U kuanzia mwezi wa 11 mpaka wa kwanza hatujui ushindi zaidi ya 1-0 zaidi ya mwezi, tena magoli ya lala salama.
kuna siku mnacheza vizuri mnashinda, na kuna siku perfomance inakuwa mbovu unakubali hata 1-0.
liverpool msimu uliopita majority ya mechi zao walishinda kama hivi, even spurs mechi iliopita na wes Brom walikuwa kama sisi.