Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwmb Modric anayeanzia benchi cku hz ndo amuweke benchi Bruno, ss Thomas Muller anacheza namba ngp cz huwa namuona akifunga tu ball control zero, talking of de bruyne huyo atacheza na Bruno pia atacheza hakuna shida.
Acha kumvunjjia heshima modric
 
Maajabu gn ya aliyofanya Luca asishindanishwe na Bruno fundi au ballon dor aliyopokonywa cr7 akapewa yeye ili tunzo isiende italy?
Una masihara wewe, bruno mfananishe na kina Toddy Cańtwel au Emmiliano Bueńdia huko na bado anaachwa kwa mbali,
 
Nimeshakudharau
The problem with you ni kwamba unaenda personal zaidi, ww toa hoja kwmb ni maajabu gn aliyofanya luka mpk uogope kumlinganisha na Bruno, kwa mfano mm naweza kuambia kwa ss bado ni matusi kumlinganisha Bruno na Iniesta, au Bruno na dinho hapo dunia itanielewa, ss ww niambie ni maajabu gn kafanya Luka mpk uogope kumlinganisha na Bruno, toa hoja personal attacks hazitokusaidia.
 
★Nimuheshimu mtu ambae haeshimu kazi yake,anafanya madudu tunavumilia tu anatuchukulia sisi ma boya,apambane aongoze timu waweze kupata mafanikio (kombe) yake kama nahodha sio kisifia rasirimali zilizokusanywa na wanaume wenzie.
mala anajisifia ukwasi wa timu ushamba wa karne nyuma huko kata wachezaji wa timu za Tanzania hawana huo ushamba, Afu Maguire bado sana hajanishawishi nimheshimu kheri nimheshimu Lindelof★
Muheshimu sana Maguire maana kwa pancha za Bailly hii inamaana kwamba Maguire ndio beki ya kati bora kuliko zote pale Old Trafford
 
Hivi wewe unamjua Modric vzr acha kumfananisha na hao kanyaboya)
 
Hivi wewe unamjua Modric vzr acha kumfananisha na hao kanyaboya) View attachment 1624473
Alafu ckia nikwambie usibadili mada tafadhali, issue ni kwamba je Bruno wa ss na Modric wa ss nani mkali na co kwmb simuheshimu Modric, unaanza kuweka tunzo alizopata, hizo zinategemea na alipokuwepo tm ilikuwa nzuri, ningemuona noma sana angeanza kuzichukua hzo tunzo tangu yupo England, btw ni mchezaji bora but Bruno ni bora zaidi yake kwa ss it's a matter of time na timu pia km itambeba Bruno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…