goli la kwanza ilipetwa offside kwanza ndo rooney akafunga,walizidi wachezaji wawili wa manure wakarudisha mpira nyuma kabla ya kupewa tena evra alyetia kros iliyomkuta rooney!
Ila kadi ya R.V.P ni ya uongo refa kamwonea haina ubishi
m
Naona hii pressure inatokea mnaposhambulia Man tu na sio vinginevyo....Hayo ni matokea ya presha waliyokuwa wanafanya Man Utd unaposhambulia sana unaongeza uwezekana wa kunufaika na makosa ya waamuzi.
Mfarisayo,ngoja waje uone watakuwa wamefura kama kifaru aliyejeruhiwa,he he heeeee
m
ahaaaaa asante sana Mkuu.Inaonekana hili picha litakuwa kali sana manake cover yake imetulia sana....
Marekebisho kidogo mkuu....kwa nyuma angewekwa Webb anawahi na kadi mkononi Ingekuwa poa zaidi..
Eti Moyes kamshauri Apunguze.....ahaaaa ahaaaa Cha msingi anachoweza ni kujiangusha (sorry kujirusha)...
akiacha itabidi auzwe tu ama arudi golikipa........
Manure kama mpo vitani kila mbinu mnatumia...
Manure kama mpo vitani kila mbinu mnatumia...
alaf kwa mbaaali anafanana na wale makahaba wenye viwango wa bongo ushuzi Shilole au Rose ndauka
Mfarisayo,ngoja waje uone watakuwa wamefura kama kifaru aliyejeruhiwa,he he heeeee
Kama Man U ingethubutu kumuuza Rooney na sisi msimu huu tungekuwa na majuto kama ya Arsenal kwa kutukabidhi RvP. Ukiwa na lile bunduki kubwa usimkabidhi adui yako.
Kabisa...ebu cheki stats zake za magoli hapa