Kwahiyo Thomas aliwekwa wa nini sasa?Ukiachana na faulo iliyosababisha goli Pogba hakuwa mbaya kivile, kwa nini tusimzungumzie akina Fernandez waliokuwa wanazunguka tu uwanjani?
Tuanze kuwakera au tusubiri mtandao urudishwe??
Daniel James mmemkumbuka leoHii mechi ilimhitaji sana Daniel James kushoto
Inauma sana kuona mimi ambae sijawahi fundisha ata team ya familia naona tatizo kabla hata game haijaanza ila kocha hajaonaHuyu kocha kwakweli mm sina imani nae kabisa ni mbahatishaji mno hamna kocha humu, yn ana uwezo mdogo sana kwakweli, badala atoe pogba aingize Donny anatoa Bruno badala atoe Rashford aingize Cavani anatoa Greenwood, hzo ni sub nyepesi kabisa hata mm nmeziona kadri mchezo ulivyokuwa unaendelea.
So mm kuanzia leo sina imani kabisa cz nshamuona ana bahatisha tuu na hatutafika popote na kocha huyu, hayo ni mawazo yangu cwezi kumlazimisha mtu kuamini ninachoamini mm japo Ole atabaki kuwa legend ila kwenye ukocha HAPANA.
Unafikir Istanbul ni mteremko?We gave everything but it wasn't meant to be. We'll bounce back even stronger.πͺ
Next stop #Istanbul.
OLE ni big fala.....Ole bhana
Pogba amechoka naongea na jamaa pembeni, nasema Pogba atolewe... mara paap TUTA (msimu huu Pogba anasababisha TUTA mara ya pili kizembe tu)
Halafu anakuja kumtoa Bruno (ambaye muda wowote anasababisha kitu) na kumwacha Pogba ambaye ana ball dance nyingi kuliko kufanya kitu uwanjani
Sijawahi kumsema vibaya yule dogoDaniel James mmemkumbuka leo
Sure lakini pia heri angeingia Daniel James upande wa kushoto mara nyingi ulikuwa wazi tu au Rashford angehamia kushoto.Mimi binafsi Fred asingekuwa na kadi ya njano hakupaswa kutoka, ila nilisapoti kutoka sababu ya muda wowote angeweza kula umeme (Mike Dean sio mtu mzuri)
Kwenye sub ya Fred kutoka na Cavani kuingia pia ni wazo uzuri ukizingatia tulikuwa tunahitaji goli shida inakuja kwa Ole anapokutana na timu kubwa kipaumbele chake cha kwanza angalau apate hata point 1
Pogba alichoka, huwa yupo reckless sana kwenye ukabaji especially maeneo kama ndani ya 18. Bruno pia alichoka, lakini uzuri wa Bruno anaweza kuwa off dakika 85, lakini dakika 5 akafanya jambo
Watu wataendelea kumponda Ole sababu ya makosa kama haya
Ninahisi Pogba asingesababisha penati, Ole angemtoa yeye. Ila kumtoa baada ya tuta ungeweza kuonekana anamtoa sababu ya kutoa boko. Kiujumla Pogba ilibidi atolewe kabla hata ya tuta, maana alionesha kuchoka mapema tu
Sasa na mimi nimeanza kuamini hatuna kocha....Kwanza alipaswa amtoe Fred aingie Cavani ili Rashford ahamie kushoto.
Substitution hii ingefanya kazi kwa ufanisi kuliko kumtoa Fred na kuleta Matic kisha Greenwood over Cavani
Good performance ladWe gave everything but it wasn't meant to be. We'll bounce back even stronger.
Next stop #Istanbul.