Tangu enzi za mourinho paulo scholes alisema kwamba tatizo la man utd kwanza ni paul pogba halafu jose mourinho watu hawakumwelea.★kwa wale wa King'amuzi cha AZAM Chaneli namba 121 ESPN Wanazungumzia swala la Pogba baada ya kupost kuwa ndoto ya kwenda Real Madrid bado anayo wachambuzi wanasema;-
1:asijionyeshe yeye ni staa wa kimataifa kupitia mitando huo ustaa auonyeshe Pitch.
2:Afikirie kwa undani anapotaka kuomba kuongezewa mshahara afikiri na anachokifanya Uwanjana je kinalingana (kinakizi) na pesa anohitaji.
3:Kama yeye kweli anajiita mchezaji bora basi airudishe Manchester United katika level za kipindi cha Sir Alex na ndipo ahame.★
#GGMU[emoji123][emoji41]
@espn
manutd
Laissez fair attitude ambayo imeaffect the whole squad.Now,explain to me how we lost a chance to play even one final from three semi's last season.
Na unadhani Ole ataendelea kuwacharaza wakubwa kama msimu uliopita?
Mkuu PTER pamoja na hayo,anakosa plan B ya mchezo na usajili pia.Ukizungumzia tactical ability kwa Ole mimi nakupinga.
Ole ameshawafunga makocha wote wakubwa EPL nadhani ukiondoa Klopp tu tena akiwa na squad mbovu zaidi last season.
Tactical brilliance ya mwalimu huonekana kwenye mechi zinazohitaji ufundi mwingi hasa big matches Ole did that to his best last season akiwa na kikosi kibovu kuliko cha sasa.
Ole ana mapungufu yake as a manager but not tactical brilliance.
Mapungufu nayoyaona mimi kwa Ole he is not a leader material pia anapenda Laissez faire Attitude.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Mkuu, hiyo Everton imejengwa kwa misimu kama miwili au mitatu, wachezaji kama Pickford, Keane, sigusson, Richarison, na jamaa mmoja mturuki flani, ndio kaja kuwaongeza kina James, sema kocha anauwezo mkubwa, nikukumbe kuwa Everton ndio timu ambayo haijawahi shuka daraja kwenye historia ya ligi ya UingerezaNi kweli ila hatuitaji mpaka tuwe na sancho/grealish/ake kuishinda crystal palace/totenham sembuse kucheza mpira mzuri uwanjani
So far mechi zote 3 tulizocheza ktk ligi tumezidiwa kila kitu na opponents zetu,
Ebu muangalie Carlo Ancelot alivyoibadili Everton kwa bajeti ndogo tu, usiombe tukutane na Everton hii, siku iyo tutaikataa timu yetu pendwa
Woodward ana mapungufu ila OGS ana mapungufu makubwa sanaa, nilikua ninaimani sana na OGS na hata ofcn kwngu aka yngu watu wananita OGS ila kwasasa sitak hata kumsikia
Kwanza kitendo cha kufika semi finals tatu kwenye tournaments tatu ndani ya msimu mmoja ni cha kupongezwa sana cause hakuna kocha mwingine aliyefanya hivyo except OGS.Now,explain to me how we lost a chance to play even one final from three semi's last season.
Na unadhani Ole ataendelea kuwacharaza wakubwa kama msimu uliopita?
Usajili siwezi kumtupia mzigo Ole hata kidogo kwa sababu makocha wengi waliopita walilalamikia Bodi kuwasajilia wachezaji ambao siyo mahitaji yao.Mkuu PTER pamoja na hayo,anakosa plan B ya mchezo na usajili pia.
Turn around ya everton hii ni uwezo wa Don Carlo kuliko uwekezaji wa wachezaji ndani ya miaka 2-3 iliyopita mkuu.Mkuu, hiyo Everton imejengwa kwa misimu kama miwili au mitatu, wachezaji kama Pickford, Keane, sigusson, Richarison, na jamaa mmoja mturuki flani, ndio kaja kuwaongeza kina James, sema kocha anauwezo mkubwa, nikukumbe kuwa Everton ndio timu ambayo haijawahi shuka daraja kwenye historia ya ligi ya Uingereza
Mwenzake alichukua Europa na kikosi cha akina Phil Jones, Lingard, Young, Valencia, Smalling etc. Baada ya hapo maboresho ya usajili yamefanyika bado unaamini Man Utd ni mbovu?Kwanza kitendo cha kufika semi finals tatu kwenye tournaments tatu ndani ya msimu mmoja ni cha kupongezwa sana cause hakuna kocha mwingine aliyefanya hivyo except OGS.
Huoni kuwa tactical brilliance yake ni kubwa kucheza tournaments tatu unafika semi zote na timu inaingia top 3 epl kwa squad ambayo ina deadwoods wengi namna ile ?
Haya ni mafanikio alihitaji kupewa mahitaji yake sawa sawa na board.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Alichukua Europa kwa kutumia wachezaji watatu ?Mwenzake alichukua Europa na kikosi cha akina Phil Jones, Lingard, Young, Valencia, Smalling etc. Baada ya hapo maboresho ya usajili yamefanyika bado unaamini Man Utd ni mbovu?
Nitakua nimejiunga na wale wanao mpinga.Tufanye hizo mechi mbili zote kafungwa,
Utamfanya nini? [emoji1787][emoji1787]
Kuna sehemu yoyote umeona Ole akilalamika kukosa first targets zake ?
Tusimlaumu kea vitu ambavyo hajavifanya
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ole kumuweka benchi Pogba hawezi..Tangu enzi za mourinho paulo scholes alisema kwamba tatizo la man utd kwanza ni paul pogba halafu jose mourinho watu hawakumwelea.
Kwa uelewa wangu mimi ni kwamba pogba hachezi kwa kiwango cha juu lakini kutokana na usupastaa/thamani yake,wanaona aibu kumweka bench.
Kipindi akiwa majeruhi ambapo kama bruno hajaja, tulikuwa na fred,mctomminay na matic kiungo kilikuwa supa sana. Watu wengi hili hatukuliona maana tunakumbuka ujio wa bruno zaidi.
Kwanini tumlaumu Ole kwa kitu ambacho hajakifanya ?Hiyo hoja ni ya mashabiki mkuu, hata Mark Goldbridge wa United Stand huwa anaiongelea sana
Hizo nusu fainali amecheza na Arsenal,Sevilla na Mancity..tumtoe City,atleast sasa ilibidi aingie fainal moja..na Semi za Arsenal na Sevilla tumecheza timu ikiwa inaonekana imekamilika kwa kiasi chake hao deadwoods ni kina nani?Kwanza kitendo cha kufika semi finals tatu kwenye tournaments tatu ndani ya msimu mmoja ni cha kupongezwa sana cause hakuna kocha mwingine aliyefanya hivyo except OGS.
Huoni kuwa tactical brilliance yake ni kubwa kucheza tournaments tatu unafika semi zote na timu inaingia top 3 epl kwa squad ambayo ina deadwoods wengi namna ile ?
Haya ni mafanikio alihitaji kupewa mahitaji yake sawa sawa na board.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Ukizungumzia tactical ability kwa Ole mimi nakupinga.
Ole ameshawafunga makocha wote wakubwa EPL nadhani ukiondoa Klopp tu tena akiwa na squad mbovu zaidi last season.
Tactical brilliance ya mwalimu huonekana kwenye mechi zinazohitaji ufundi mwingi hasa big matches Ole did that to his best last season akiwa na kikosi kibovu kuliko cha sasa.
Ole ana mapungufu yake as a manager but not tactical brilliance.
Mapungufu nayoyaona mimi kwa Ole he is not a leader material pia anapenda Laissez faire Attitude.
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Hakuwa na squad ya kufanya rotation kwa muda mrefu.Hizo nusu fainali amecheza na Arsenal,Sevilla na Mancity..tumtoe City,atleast sasa ilibidi aingie fainal moja..na Semi za Arsenal na Sevilla tumecheza timu ikiwa inaonekana imekalika kwa kiasi chake hao deadwoods ni kina nani?
Kwanini tumlaumu Ole kwa kitu ambacho hajakifanya ?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Kama kushinda mechi kubwa ni hamasa hiyo hamasa inafeli vipi kumpa matokeo kwenye timu ndogo ambazo huwa hazichezi zaidi ya kupaki basi ?Mkuu kuifunga timu kubwa haimaanishi kuwa kocha tactically yupo vizuri zaidi
Mimi huwa naamini kocha anayeishinda mechi kubwa tu na nyingine ana draw au kufungwa ni mzuri kwenye hamasa na sio ufundi
Kocha yupo vizuri kwenye hamasa na ndio maana anashinda mechi kubwa tu
Okay..Hakuwa na squad ya kufanya rotation kwa muda mrefu.
Wachezaji wengi wamekuja kuimarika baada ya lockdown.
Tournaments wakati mwingine zinaamuliwa na bahati tu.
Na katika kila timu iliyomtoa OGS semi final wametwaa ubingwa cant you see that fact?
Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
Na hapa ulikuwa unalaumu nini kama siyo hoja ya mwalimu kukosa first target?Pia ieleweke sio kila kocha huwa anapata first target anapohitaji
Mfano Pep first target yake alikuwa Fred ikashindikana, akamfuata Jorginho ikashindikana
Pep msimu huu alimtaka zaidi Koullibally ikashindikana, akampata Diaz
Klop alimtaka sana Wener, akina Jose walimtaka Milk wakampata Vinicious, Barca walimtaka Depay, Wijnaldum lakini ikashindikqna
Hakuna kocha ambaye huwa anapata first targets zake kwa 100%