Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chama langu tuna matatizo mengi sana...hatuwezi pata kombe lolote na CF ya Martial....Winga ya kulia specialist ni ya lazima...Beki ya kati Chafuchafu na roho mbaya ni ya lazima....Sitaki kusema mengi kuhusu Ole...Tunashindwaje kupenetrate mipira kwa team kama palace aise....So sad...ngoja nisubiri second half
 
Upande wa kilia majanga James hana afanyalo

Ila beki jeuri (Bailly) yupo tu benchi
 
Mkuu hii timu tuijua vizuri huo upande ni utopolo wewe mwenyewe umeona cross inapigwa mensah hayupo haya kaenda kukaba lindelov naye anaangalia tuuu mpaka watu wanapiga cross hata kuweka mguu haweki.
Hv hapo kuna kosa la mensah kweli au kwa kuwa goli limepatikana upande wake?
 
Timu haichezi vizuri kwenye midfield
 
Mm leo tukipigwa itakuwa poa tu ili wasajiri c unajua man u ya cku hz mpk itiwe tiwe ndo inasajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…