Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Kuna mtu anaenda kupigwa★Leicester's whopping £80m valuation on Ben Chilwell could yet be met as a bidding war for him beckons.
Manchester United have joined Chelsea in the race for the full-back.★View attachment 1536121
Hapo sawa★ESPN | Ousmane Dembele to Manchester United (a season-long loan deal for Dembele with an option to buy) could be the back-up option if Borussia Dortmund continue to dig their heels in on Jadon Sancho.★
#GGMU
manutd | View attachment 1536123
Athuman Tembele★ESPN | Ousmane Dembele to Manchester United (a season-long loan deal for Dembele with an option to buy) could be the back-up option if Borussia Dortmund continue to dig their heels in on Jadon Sancho.★
#GGMU
manutd | View attachment 1536123
Sure, hata mimi naikumbuka hiyo argument from source flani kutoka man utd, aliileta Mc cane. Man Utd walisema kabisa bruno anapoteza mipira sana katika kumfatilia performance yake. Bila kelele za sisi mashabiki die hard especially uk kule, leo bruno tusingekuwa nae.huu mjadala wa bruno fernandez na upotezaji wa mipira umetamalaki kwenye forum na kurasa za manchester united.
acha niendelee kukaa kimya kwa lengo la kujifunza zaidi mawazo ya wengineo.
kuna mdau fulani nakumbuka humu ndani aliwahi kusema
man utd walishindwa kumsajili bruno dirisha kubwa kwa sababu ya takwimu zake za passing accuracy, wengi wetu hatukumuelewa
kuna makala fulani nimeisoma kupitia mtandao wa the athletic wiki iliopita nitajaribu kuishusha, inazungumzia ishu ya bruno fernandez.
athletic makala zao mpaka ulipie au utumie crack method
===========================
ahsante sana kwa ukumbushoSure, hata mimi naikumbuka hiyo argument, aliileta @Mccane. Man Utd walisema kabisa bruno anapoteza mipira sana. Bila kelele za sisi mashabiki, pengine bruno tusingekuwa nae
Kuna mtu anaenda kupigwa
Huyu thaman yake ni £30m
Manchester United’s final game of the campaign was a perfect case in point. Fernandes was successful with only 33 of 50 passes at the King Power Stadium (66 per cent) but his approach provided the defining moment when playing through Anthony Martial, who was then fouled for a penalty. The match was an illustration of why Ole Gunnar Solskjaer calls Fernandes a “risk and reward” player.
Fernandes actually started the press on Wes Morgan and was in position to capitalise on Mason Greenwood tackling Hamza Choudhury. Fernandes was already looking at where he might play the ball before he received it, noticing Martial was in a gap between Morgan and Jonny Evans and had space to run into.
View attachment 1536332
Chelsea ndo watapigwa hapo..there's no way tukamnunua huyo left back kwa £80mil itakuwa ni ujinga dunia nzima..Kuna mtu anaenda kupigwa
Huyu thaman yake ni £30m