Nasikia pamoja na yeye kuja January na kucheza nafasi ya kiungo lakini kamzidi magoli box to box, Brazilian ginger pressing striker boby Firminho (kwa Uingereza)
Timu ipo nyolonyoloooo,wachezaji wamejaa kiburi na u-star mwingiiiiiii.Hawapambaniii timu.wanasubiri kuonesha mbwembwe kwa Aston villa,Norwich na Watford