★Ila jamani Mason Greenwood anikosha Roho jamani si kwa Magoli haya hata majuzi nilisema ukiona Greenwood kapiga bicycle jua kimewaka Golini hawakuamini hembu ona sasa.
Jamani hum jukwaani mwenye Mapenzi na Manchester United na anakatoto ka kike atoe zawadi kwa Huyu bwana Mdogo
★sasa we Jamaa kwakutizama kwako tukiachana na hiyo chuki yako na Manchester United ulitaka akishapiga hiyo chenga Bruno Fernandez ulitaka akanyage wapi kama sio hapo alipoweka Mguu huyo Beki,Tukiachana na hivyo vifaa vya VAR vinatunzwa pale OT ulitaka vifanye maamuzi gani