Acha mbwe mbwe .."Wee ulisikia wapi?"
Tatizo ninyi mukishinda mechi tatu vichwa vinavimba kweli kweli ..ninyi man u fans mnakuwaga na akili mbofu mbofu ...
Kuhusu top four itabid usahau mapema ..ondoa ayo mawazo mze..
Unadhani Leicester ataki kucheza UEFA? Ee bwana wee usahau kabisa UEFA kuna raa yake mkuu..