Bado mechi 6 mkuu Gap la 5pts sio kubwa kivileTo be frank, Chelsea kuwashika bado kama kazi ila Leicester wanaweza toka top 4
TimfireMariam Biriani una kibri sana, manchester utd msimu huu kakufunga mechi 3 ila bado hutaki kutuheshimu
Ebu tueleze, unataka tukufanyaje ndio utuheshimu?
Subiri ivyo ivyo ..utajikuta uko apo apo..Bado mechi 6 mkuu Gap la 5pts sio kubwa kivile
Hadi sasa Leicester keshapigwa 2 dk ya 45
Chelsea nae akipoteza gap litakuwa 2 Pts
Chelsea yuko ugenini wewe acha ushamba.Daraja linavunjwa, linashonwa kwa VAR duh! Hii VAR noma
Ukisafiri wezi hawawezi kuvunja nyumba yako kwakuwa umeenda mjini ukweni. Siyo wa mashambani tunaona nyumba inavunjwa.Chelsea yuko ugenini wewe acha ushamba.
James Madison effectLeceister anazidi kuporomoka tu which is good to us.
Top 3 ilee..! Inanukia.FT: Westham 3-2 Chelsea
Jezi imemponzaFT: Westham 3-2 Chelsea
Subiri ivyo ivyo ..utajikuta uko apo apo..
#CFC[emoji170][emoji170]
Tunawataka July 18, beki wenyew ndio wale kina Rudiger, Alonso??Huyo jamaa nimemfuatulia naona comments zake huwa anakurupuka tu kulopoka sio mfutiliaji wa Michezo bali ni mshangiliaji tu