Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FA Cup MANU na Chelsea ndiyo inaanza sasa, labda MANU leo wanaweza kujiliwaza kutokana na kipigo toka kwa Real Madrid March 5, 2013.
 
Naona mchezaji wa 12 wa Man u anachelea tuu! Bila kubebwa hawatoki!
 
Jamaa wana stress hasa fergerson lazima wafungwe!

Naona wamekoswakoswa hapa!
FA Cup MANU na Chelsea ndiyo inaanza sasa, labda MANU leo wanaweza kujiliwaza kutokana na kipigo toka kwa Real Madrid March 5, 2013.
 
FA Cup MANU na Chelsea ndiyo inaanza sasa, labda MANU leo wanaweza kujiliwaza kutokana na kipigo toka kwa Real Madrid March 5, 2013.

Team sheet
 
Attachments

  • 8eeb467755f786fea450688de838a2a1.jpg
    115.2 KB · Views: 22
Naona leo mmepewa magoli mnapiga kelele! Hivi haya magoli kwanini siku ya mechi na madrid hayakuingia? Where were you?
Naamini bado unaangalia game.

2-0 to United
 
Daaah Man u ni wataalam wa kununua match lakini hile ya madrid iliwashinda hadi babu nusu awe chizi!
 
Naona leo mmepewa magoli mnapiga kelele! Hivi haya magoli kwanini siku ya mechi na madrid hayakuingia? Where were you?

Chifu, kama hayo ndiyo mawazo yako, basi hufahamu chochote juu ya soka.

Magoli ya kupewa hayo? Au ndio umeamua kutoa shombo la mdomo wako?

Tuliza kitenesi hicho.

Siku zote nipo, tufungwe, tushinde ama tutoe droo, siku zote naishangilia Manchester United.

Pheeewww!
 
Mkuu mimi si muumini wa matusi! kwani nini maana ya kupewa?

Mmepewa magoli na wachezaji wa chelsea!

Yan chelsea wameona bora wauze match kumuokoa babu!

Na hii me naona ni busara kuokoa uhai wa babu maana alikuwa na hali mbaya sana after madrid match!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…