Nashuhudia kwa Macho yangu mkuu umeruka mstari namba 4. [emoji23] unekosa uchaguzi wowote.
View attachment 1468356
Huyu dogo kazi yote ile kumbe mshahara wake ndio huo
Unaweza kutuambia Van Gaal alimtaka nani akamkosa kisha akaletewa Dimaria ?
Wakuu mnaonaje kama tukimchukua robert snodgrass kuziba pengo la pogba kama akiondoka? West ham hawatahitaji dau kubwa.