Mkuu rutashubanyuma inaonekana unafurahishwa sana na mapendekezo ya bwana nyoka makengeza kwamba Man U inapaswa kuwaleta kina benteke, Carol na Daniel Drinkwater ndio mana unampa LIKE!
Na mnavyompa like ndio anaongeza kujichetua akili!