Huyu mnijeria huenda akarudi China na kutuacha kwenye mataaView attachment 1458933
Sent using Jamii Forums mobile app
Fundi sn uyo mtoto ni suala la muda tu
Unaweza kukuta tetesi tu izoBye bye Ighalo wachina wamegoma wanamtaka mtu wao au kitita kinachoeleweka View attachment 1459504
Sent using Jamii Forums mobile app
Bye bye Ighalo wachina wamegoma wanamtaka mtu wao au kitita kinachoeleweka View attachment 1459504
Sent using Jamii Forums mobile app
acha kutema mashudu humuwametubania tuu. Inatakiwa tumpate mchezaji mbadala kama benteke au any carol. Tukipata mmojawapo tunabena epl.
Benteke au carol??...Cut the crap browametubania tuu. Inatakiwa tumpate mchezaji mbadala kama benteke au any carol. Tukipata mmojawapo tunabena epl.