Manchester United (Red Devils) | Special Thread

dah! hiyo penalty aliyopiga paul scholes alidhamiria kumtoa uhai kipa wa west ham?

tumetoka mbali sana....kutoka kubeba ubingwa kwa utofauti wa alama 18 hadi kukosa ubingwa kwa utofauti wa alama zaidi ya 25
Hii video imenikumbusha mbali sana, OGS super sub kaingia na goli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…