Jamaa anaendelea kutupia tuDah!! Huyu Haland tulifanya kosa kubwa kumkosa jamaa anatupia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao London babies hawana uwezo wa kubattle na sisi tutawavunja mbavu.Nyinyi acheni Sifa bhana! Mutamfungaje Chelsea Mara 3 ndani ya miezi 6?
Muwache ubeberu
Dah!! Huyu Haland tulifanya kosa kubwa kumkosa jamaa anatupia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sisi hatukupambana kumchukua haarland ili tusimdumaze mjukuu wa malkia greenwood lakini tukapambana kumpata ighalo.
Watu watakuja kubisha hapaFormer Sporting boss Carlos Carvalhal:
"Bruno Fernandes is not a number 10. He is a midfielder but he has developed that ability to break the line of the defence to score goals. “He shoots, he assists, the passes and the free-kicks. But he is not a 10, he is an 8." . . .
Haland tungemharibu ni bora ameenda huko Dortumund. Hatuna timu wala kocha ambaye angeweza kumtumia.Dah!! Huyu Haland tulifanya kosa kubwa kumkosa jamaa anatupia tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ila washabiki wa united kwa pumba ni balaa, kocha na timu inayomfanya Fred aonekane World class sio kitu tena? Msimu huu Rashford amekua na mafanikio zaidi kuliko misimu yote aliochezea united na bado msimu haujaisha. Kocha ambae kila usajili wake ni mkali ndo sio kocha tena. Halaand na agent wake wana matatizo, lile jamaa lilitaka kiwekwe kipengele kama atauzwa baadae kuwe na fungu lake. Kwa kufanya hivyo maana yake agent anaweza kutengeneza zengwe baadae ili mchezaji auzwe lipate pasenti yake. Na hii mara nyingi inatokea mchezaji anapokuwa amefanya vizuri sana na ni tegemeo kwenye timu. Raiola ndio huyo anaemsimanga Ole kwa Pogba kwasababu anaona Pogba atakosa soko akiendelea kuwa United. Tuwe na taarifa sahihi kabla ya kuponda timu yetu. Muangalieni Frank Rijkaard alipoanza kuifundisha Barcelona, kabla ya Barcelona timu aliyoifundisha kule uholanzi aliishusha daraja kwa mara ya kwanza na Barcelona ikamuamini. Akiwa na Barcelona kuna wakati Barcelona ikawa katika nafasi za kushuka daraja. Yeye ndie aliempeleka Etoo na Ronaldinho Barcekona na akachukua UEFA baada ya miaka kadhaa ya barca kusuasua. Fuatilieni mambo united. Huyu ndie kocha wa kwanza united ambae mchezaji anaesajiliwa anaingia moja kwa moja kwenye timu na kufanya mabadiliko. Mpewe nini umbwa nyie? AaaghHaland tungemharibu ni bora ameenda huko Dortumund. Hatuna timu wala kocha ambaye angeweza kumtumia.
Nilitaka kuandika hiki kitu cross chache za bruno tayari Maguire anaonekana Mtu kwenye Kona.
Na james majeruhi ya Rashford yamemuongezea majukumu. Jana alikuwa akichezeshwa kama striker, ndio maana unamuona kawa vile, katumika sana jamaa anahitaji rest.
Eti"Mpewe nini umbwa nyie"ila washabiki wa united kwa pumba ni balaa, kocha na timu inayomfanya Fred aonekane World class sio kitu tena? Msimu huu Rashford amekua na mafanikio zaidi kuliko misimu yote aliochezea united na bado msimu haujaisha. Kocha ambae kila usajili wake ni mkali ndo sio kocha tena. Halaand na agent wake wana matatizo, lile jamaa lilitaka kiwekwe kipengele kama atauzwa baadae kuwe na fungu lake. Kwa kufanya hivyo maana yake agent anaweza kutengeneza zengwe baadae ili mchezaji auzwe lipate pasenti yake. Na hii mara nyingi inatokea mchezaji anapokuwa amefanya vizuri sana na ni tegemeo kwenye timu. Raiola ndio huyo anaemsimanga Ole kwa Pogba kwasababu anaona Pogba atakosa soko akiendelea kuwa United. Tuwe na taarifa sahihi kabla ya kuponda timu yetu. Muangalieni Frank Rijkaard alipoanza kuifundisha Barcelona, kabla ya Barcelona timu aliyoifundisha kule uholanzi aliishusha daraja kwa mara ya kwanza na Barcelona ikamuamini. Akiwa na Barcelona kuna wakati Barcelona ikawa katika nafasi za kushuka daraja. Yeye ndie aliempeleka Etoo na Ronaldinho Barcekona na akachukua UEFA baada ya miaka kadhaa ya barca kusuasua. Fuatilieni mambo united. Huyu ndie kocha wa kwanza united ambae mchezaji anaesajiliwa anaingia moja kwa moja kwenye timu na kufanya mabadiliko. Mpewe nini umbwa nyie? Aaagh
James sio mambo ya majukumu..hata kipindi Rashford hajaumia,huwa inakuwa ngumu sana yeye kutembea timu pinzani ikiziba nafasi..yaani ni mzuri tu kwenye quick break..apart from that sioni jambo kubwa analoweza,na sisi tunategemea makubwa kutoka kwakeNilitaka kuandika hiki kitu cross chache za bruno tayari Maguire anaonekana Mtu kwenye Kona.
Na james majeruhi ya Rashford yamemuongezea majukumu. Jana alikuwa akichezeshwa kama striker, ndio maana unamuona kawa vile, katumika sana jamaa anahitaji rest.
James sio mambo ya majukumu..hata kipindi Rashford hajaumia,huwa inakuwa ngumu sana yeye kutembea timu pinzani ikiziba nafasi..yaani ni mzuri tu kwenye quick break..apart from that sioni jambo kubwa analoweza,na sisi tunategemea makubwa kutoka kwake
Maybe ata-improve with time
Upo sawaAkicheza kushoto creativity huwa inaongezeka kuliko kucheza kulia.
Ndiyo maana akistruggle right wing huwa anahamia left wing ambako yupo comfortable zaidi kucheza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh hii kali
Upo sawa
Hata goli mbili kati ya tatu alizofunga,alikuwa anatokea kushoto