mozila firefox
JF-Expert Member
- Dec 9, 2018
- 898
- 1,764
Acha kujitetea wwSijui kwa nn kila tunapokutana na nyie tunakua na majeruhi wengi. Daah ni kama mna bahati ivi. Eti mbele kuna Pedro na Batshuayi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Halima Mgwayaaaaaa!!Leo huyu kibaka Baily ameanza duh,naamini redcard ipo.....
NB:Halimagwaya ni morisoni mweupe maana ana uhuniuhuni,kampiga mtu teke la ikulu.
VAR inakunywa chai
Sent using Jamii Forums mobile app
OGS mvivu sana kufanya sub, na hajui nani ni jipu amtoe mapema. Juzi nilikuwa naangalia mechi ya Spurs Mou ana akili sana akiona udhaifu sehemu anafanya sub faster na unaona mabadiliko.
Sent using Jamii Forums mobile app