Tunaweza kukusanyika sehemu ya wazi kwa wingi na jezi zetu uchwara kisha tukazivua na kuzipiga moto kiroho mbaya..video lazima iende viral,na itaongeza pressure
Huwajui glazzer wewe na man U sio club yao ya kwanza, hata timu ikitaka kushuka daraja as long as mshiko unaingia kwao haina neno, uwanjani wenyewe kuwaona ni kazi, hawajali hayo ya uwanjani wanajali tu stock market.
sanchez bado ana mkataba na manchester united, kama inter milan na timu nyenginezo hazijavutiwa na huduma yake basi atalazimika kurudi klabuni msimu ujao.
ngoja tuone huenda big boss akamgeuza alex sanchez na kuwa alex cantona
Tunaweza kukusanyika sehemu ya wazi kwa wingi na jezi zetu uchwara kisha tukazivua na kuzipiga moto kiroho mbaya..video lazima iende viral,na itaongeza pressure