Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wakuu nini kinakwamisha dili la bruno lisikamilike??

Au ndio kama kawaida yetu tunasajiri kwenye magazeti

Sent using Jamii Forums mobile app
KUMBE kinachomchelewesha Kiungo wa Sporting Lisbon, Bruno Fernandes, 25, kutua Manchester United wakati huu wa dirisha dogo la usajili ni pesa tu.
Ishu iko hivi;- Man United imeshamalizana kila kitu na Fernandes mwenyewe, lakini shida inakuja kwenye pesa ambayo Sporting Lisbon inaitaka ili kumuachia kiungo huyo wa kimataifa wa Ureno.
Sporting inataka Pauni 68 milioni, lakini Man United haiko tayari kulipa pesa hiyo kwa sababu inaamini ni nyingi sana kulinganisha na thamani halisi ya Fernandes.
Man United imeiambia wazi Sporting kuwa dili hilo litakufa kama haitapunguza bei na tayari miamba hiyo ya Old Trafford imeanza kuangalia viungo wengine ikiwa itamkosa Fernandes.
Kama Manchester United itakomsa kiungo huyo, hii itakuwa ni mara ya pili kwa kuwa awali ilimtaka katika dirisha lililopita la majira ya joto. Katika dirisha hilo ilifika hatua hata Fernandes kuaga kwa wachezaji wenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
la kumwajiri ole nadhan Ed mnamwonea sana aisee,,,, ile presha mliyokua mnampiga kwamba amwajiri ole umesahau?......


kila utd related pundits wakipata nafasi ilikua ni give him the job now, Rio kuna siku alirukaruka studio akisema ole at the wheel....... yan Ed asingempa Ole kibarua wangetamani wamle supu!


shida kubwa ya utd ni kutokua tayar kufanya rebuilding ya uhakika, mashabiki na former players wenu wanaongea rebuild mdomoni ila ni vigeugeu hatari...... bado wanaishi enzi za SAF........ Ed ni sehemu ndogo ya tatzo la utd!


liver tuliteseka sana kwa sababu hizi hizi za kuendekeza historia, tukaachwa nyuma! ..... utd hela wanatoa sana za kusajili, so kiuhalisia tatzo sio Ed pekee ila ni mentality ya utd as whole (mashabiki, former players, kocha, n.k)......


baada ya babu kustaafu ilitegemewa hiki kipindi mtapitia, nadhan hili ndio hamtaki kulikubali......... it happened with liver, milan clubs, madrid 00's,....... that said Ole sio mtu sahihi wa kuwapeleka mbele!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PSG wakimpata Koulibaly watu wajiandae kisaikolojia kwenye UEFA

Middle wako na mbavu za kutisha, mbele mbavu za kutisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu pochettino naye kapoa sana kama Ole tu,siupendi sana ujio wake pale OT.
Tumchukue Nuno espirinto wa wolves kidogo ana mbinu nyingi.
 
Huyu pochettino naye kapoa sana kama Ole tu,siupendi sana ujio wake pale OT.
Tumchukue Nuno espirinto wa wolves kidogo ana mbinu nyingi.
Manchester United are are in big trouble. And changing the manager, sacking Ole Gunnar Solksjaer, won't fix things, because if Solskjaer goes, Ed Woodward has to go as well. There is no point in changing the manager if the serious problems at the heart of the club are not dealt with.
Whatever about United as a team, United as club are way, way behind others in the Premier League.

Even with this transfer window and the signing of Bruno Fernandes there's a problem. It was flagged up a week ago but it's still dragging on, because of a row over the fee. United have agreed to pay €50million but are arguing over another two million. As a club, United just can't seem to get any deals done.

Every time they go into a transfer window they know they need players to improve the squad, but the window passes by and they don't end up with the key players they have been linked with. It's one thing to identify the players you want and another thing to go out and complete those deals.


I am sure that's a frustration for the manager, and you can't just blame the manager at United all the time, it goes higher up than that. The club said this week, even after the Burnley defeat, that they were standing by Solskjaer, that he was still the man for the job, but they have to back him, they need to give him hope.

Stand

As much as the United fans love Solskjaer, they won't stand for much more of what they are seeing now. If the results on the pitch are poor, people will stop going. The transfer window will pass them by and they'll be on the lookout for another manager.

The thinking of the club's hierarchy will be that they can just sack the manager and move on with someone new, instead of taking responsibility themselves.

The people at the top are not buying the right players, they are not doing the right deals, and until that situation improves, nothing will change. They signed Harry Maguire and Aaron Wan-Bissaka, but United are signing players from middle or lower level clubs in the Premier League. I could see players like that being an addition to United if they had top players to play with... but United don't have any top players. The whole policy is wrong, it has been for some time, there is too much going on off the field and not enough focus on what's happening on the pitch.

Awful

The United midfield against Burnley on Wednesday night was awful, the likes of Fred and Nemanja Matic are just not good enough.

A few years ago, Jose Mourinho said the best result he ever had with one of his clubs was finishing second with the United squad that he had at the time, and that makes sense now when you see how low they have fallen.

The board don't seem to know what to do with Solskjaer. He has been there for over a year, but will things be any better in another 12 months? Will they make progress? Probably not, given the way the club is being run.

If they are not going to back the manager and bring in the players that he wants, good players, what's the point in keeping him there? He has made no difference to the team in the months he has been there and there's no evidence that he will make them better in another 12 months.

Top players do not want to go to Manchester United with things the way they are now. Outside of Marcus Rahsford, there is not a single player who you'd consider to be top level.

Massive

But they are paying top-level wages. As soon as David De Gea signed his new contract, on massive wages, he stopped being a top-level player in European terms. They are paying him Real Madrid-style wages but he's nowhere near being a Real Madrid player at present.

United have the biggest wage bill in England but the output on the pitch does not come close to reflecting that, and that's an indictment of the leadership of the club, not so much the manager.

United's problems run far deeper than the first team losing at home to Burnley. I live in France now but I see and hear enough from when I am back in England to get a feel for how things are, and United are way behind Manchester City and Liverpool in terms of attracting young players to the academy.

Kids are influenced by what they see. When I was young, before I went to England, I had a Blackburn Rovers jersey, not because I loved Blackburn but since they were a successful club at the time. They had won the league, so were a club to be admired.

Kids in England now see Manchester City winning leagues, see Liverpool winning the Champions League and, as young players, those are the clubs they want to identify with. They want success for their own careers and won't see United as a route to that.

They look up to Kevin De Bruyne, David Silva, Mo Salah, Roberto Firminho ... but there is no one at United for a kid to idolise, bar Rashford. He is a good player but he's not winning leagues, he's not competing for the Champions League and that's what kids want to aspire to.

United are not helping themselves at so many levels and I don't know how they can get out of the mire they are in.

Record

Solskjaer's record in England suggests, very strongly, that he's not up to the job. So a new manager would be a start but a manager needs support, and the Glazers' approach seems to be that Woodward is delivering commercial success and that's what counts for them.

They could bring in a new coach, like Mauricio Pochettino, but until the leadership of the club changes, nothing will change, no matter who the manager is.
 
Mch
 
Sijakata tamaa Mkuu, naongea uhalisia

Timu ya 5 kwenye msimamo ina points 34, timu zilizopo relegation zina points 23 tofauti ya points 11

Timu ya 5 kwenye msimamo ina points 34, timu ya tatu kwenye msimamo wa ligi ina points 48 tofauti ni points 14,

Ina maana timu namba 5 ipo karibu ya relegation zone kuliko ilivyo karibu na timu ya 3 kwenye msimamo

That's FACT

Mc cane kati ya watu wote nilitegemea uwe wa mwisho kukata tamaa hivyo,hahahaha😀

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matumaini ya Manchester United ya kumpata Bruno Fernandes yamegonga mwamba baada ya klabu hiyo kushindwa kufikia bei ya £68m iliyowekwa na Sporting Lisbon kumuuza kiungo huyo wa kati wa Portugal. (Mail)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United wanatafakari uwezekano wa kumsajili kiungo wa kati wa Paris St-Germain Mfaransa Eric-Junior Dina Ebimbe, 19, ambaye kwa sasa yuko Le Havre kwa mkopo. (RMC Sport)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KUMBE HATA JORGE MENDES HAELEWI KUHUSU DILI LA BRUNO FERNANDES




WAKALA Jorge Mendes amesema hawaelewi Manchester United kuhusu mpango wa kumchukua kiungo Bruno Fernandes kwa sababu haoni kama dili hilo litakamilika ndani ya mwezi huu.
Imeripotiwa kwamba Man United ilikubali kulipa Pauni 55 milioni kunasa huduma ya Mreno huyo, lakini wamekuwa kimya kwa siku za karibuni jambo linalomtia shaka hadi wakala wa mchezaji huyo anayekipiga Sporting Lisbon.
Kocha Ole Gunnar Solskjaer amekuwa akisaka kiungo mshambuliaji tangu kwenye dirisha lililopita la uhamisho wa majira ya kiangazi na iliaminika kwamba angemnasa Fernandes Januari hii, kabla ya wakala Mendes kutoa maneno yenye shaka kubwa.
Wakala huyo alipoulizwa anadhani dili la Fernandes litakamilika lini, alisema: “Sifahamu. Kama ataondoka sasa hivi, uhakika ataondoka mwisho wa msimu kwa sababu Sporting wameshazungumza na klabu nyingine.
“Wakati mwingine mambo hutokea, lakini siha uhakika kama itakuwa sasa hivi au mwisho wa msimu.”
Vyombo vya habari huko Ureno vimekuwa vikifuatilia kwa karibu usajili wa Fernandes na A Bola liliripoti Jumatano kwamba Man United waliweka sawa mipango yao ya kumchukua kiungo huyo mwenye umri wa miaka 25.
Iliaminika kwamba ofa ya Pauni 55 milioni ilikubaliwa kwenye mpango huo, huku Man United wakidaiwa kwamba watatanguliza Pauni 47 milioni kisha watamalizia nyingine Pauni 8.5 milioni baadaye kutokana na mafanikio yake atakayokwenda kuyapata huko Old Trafford.
Mendes alisema: “Bruno ni mchezaji bora kwenye ligi, amewaacha mbali sana wenzake. Namlinganisha na Frank Lampard.”

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nilikata tamaa, umeongea fact lkn umeishia katikati, hujasema timu ya nne inatofauti point ngapi. Kuna factor za Liverpool kuwa pale ilipo. Kuna sabb pia man utd kuwa pale ilipo ukioanisha unakuta bado timu hii inakwenda sawa sawa na man city kwa sabb haitishi. Timu pekee unayoweza kujenga nayo hoja ni Liverpool. Ninyine zaona ziko sawa. Zinatofautiana ipi iko mazingira gani.
 
Me naamin wachezaj hawa hawa feg angepewa nao Leo hiii angekuwa anakimbizana na klopp Kwenye ubingwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me naamin wachezaj hawa hawa feg angepewa nao Leo hiii angekuwa anakimbizana na klopp Kwenye ubingwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Inawezekana tusingekuwa hapa..lakini kukimbizana na Liverpool huku akimtumia Martial hilo lisingewezekana..kwenye kikosi cha Fergie lazima

✓Awepo finisher mmoja hatari sana,na mfano mzuri ni RVP ambaye alimtumia kwenye siku zake za mwisho pale OT

✓Kiungo mmoja mjanja mjanja na mzuri kwenye kila idara(Kukaba,good shooting, na good final pass) ..refer Paul Scholes

✓Beki kiongozi kweli kweli..refer Ferdinand or Vidic

Fergie angeteseka vilevile kama angepewa mtu kama Perreira eti ndo kiungo mshambuliaji..Lakini kwa ukali wake(hachekicheki) tusingeshindwa kuingia top four
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…