Hahahahahahahahahhii Manchester United ya Lingard,Show,sijui Perreira au unaisema Manchester United ipi Mkuu.
Sehemu pekee ambayo ninakiri wametuzidi ni namba 10
Tominay na Ndidi naona kama wapo sawa na kama wamezidiana ni kwa kiasi kidogo sana
Vardy na Rashford kwa current form kama ulivyosema kwa golikipa, Rashy amemzidi Vardy
Kwa golikipa tuna Degea, tuna Romero anayeweza kumuweka benchi hata Alison
Evans (Man Utd reject) kumzidi Lindelof, wakati huo tuna Bailly na Tuanzebe benchi, Chillwel kumzidi Williams, Tilesman kumzidi Fred kwa current form nachukulia kama ulikuwa unatania
Pia tulimchukua beki wao bora wa kati, naona umejisahaulisha kumtaja na kirusi Pogba
Hivi ikitokea Soyuncu, kipa wao au Vardy au Madison wameumia kwa muda mrefu wana wachezaji mbadala kwenye namba zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahahahahah
Mc Tominay =Wilfried Ndindi
Evans = Lindelof, Jones
Chilwell =Show, Young
Telemans = Mata,Fred
Vardy = Rashford,Martial,Greenwood
Madison = Mata,Lingard,Perreira
Schmeichel = De Gea kwa Current form aliyonayo hivi sasa haingii kwa Schmeichel
Endelea kujidanganya Eti Manchester United ina kikosi bora kuliko Leicester Kikosi cha United Qualify players hawazidi watatu or wanne.
Unapinga hoja za watu kwa kuandika Bla bla tu Leta hoja za kueleweka Mimi nimesema Wilfried Ndindi ni bora mara miles kwa Mc Tominay,Unakuja kuniambia sijui akija Liverpool sijui nini Wewe kwa uelewa wako Position anayocheza Mc Tominay akija kwenye Squad ya Klopp anaweza kuingia F11.
Mchezaji kuja kuwa star wa timu ni kitu kingine,Wakati Mane anatoka Southampton uwezo wake ulikuwa umeshaonekana the same kwa Salah pia kuanzia kufunga mpaka ku assist uwe unafatilia vitu. Chambers hakuwahi kuwa mchezaji mbaya hayo ni mawazo yako binafsi.Ulitegemea chambalaini atakuwa mchezaji mzur kule liverpool? Kuna muda msiwewakurupufu mjipe muda wa kujibu post?
Nani alitegemea kama mane angewika vile unaambiwa atakuwa star wa liverpool au salah?
Mmesha kuwa jumba la makumbusho ndio kilichabakia kwenu hamna jipya tena kwenye Modern Football ya sasa Eti misimu miwili nyuma iliyopita mmebakia kujibu hoja kwa Historia tu.Hizi porojo ungepiga kabla ya liverpool kuchukua eufa tungekuona wa maana sana kwa kuwa mmeotea vikombe na zile takataka zimegeuka lulu unasahau kama walikuwa wachezaj wa kawaida tu hawakuwa ma mastar zaidi ya mbinu za klopp kuwageuza top player wakat wanasajiliwa wakina gomes uliwah fikiria wangeleta mafanikio?
Sioni kama sisi tunawachezaj wabaya kama unavyojipostisha hapa wakat hao hao walimaliza juu ya liverpool msimu wa mourinho tena wa pili liverpool alikuwa wa nne na wakina salah na mane wapo
Ina maana bila pep kuweka mzigo wa maana ktk timu yake wakina de gea na jones plus rashford na martial na mata wangechukua epl
Njoo na Takwimu za Mc na mi nilete za Ndindi Hizo big games imekuwa ni kawaida yenu kukamia na huwa sio performance ya mchezaji mmoja ni ya timu nzima Big games zote mlizocheza timu nzima iliperform.Ndidi hawez kuwa juu ya scott kwa umr ule kisha prove kwenye big games zote kashinda sehemu ya kiungo sema kwa kuwa ni hater utabisha
Ulitegemea chambalaini atakuwa mchezaji mzur kule liverpool? Kuna muda msiwewakurupufu mjipe muda wa kujibu post?
Nani alitegemea kama mane angewika vile unaambiwa atakuwa star wa liverpool au salah?
Mmesha kuwa jumba la makumbusho ndio kilichabakia kwenu hamna jipya tena kwenye Modern Football ya sasa Eti misimu miwili nyuma iliyopita mmebakia kujibu hoja kwa Historia tu.
Njoo na Takwimu za Mc na mi nilete za Ndindi Hizo big games imekuwa ni kawaida yenu kukamia na huwa sio performance ya mchezaji mmoja ni ya timu nzima Big games zote mlizocheza timu nzima iliperform.
I can't imagine Matip, Henderson, Lovren, Chamberlain & Co. under OGS
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo na Takwimu za Mc na mi nilete za Ndindi Hizo big games imekuwa ni kawaida yenu kukamia na huwa sio performance ya mchezaji mmoja ni ya timu nzima Big games zote mlizocheza timu nzima iliperform.
Mmesha kuwa jumba la makumbusho ndio kilichabakia kwenu hamna jipya tena kwenye Modern Football ya sasa Eti misimu miwili nyuma iliyopita mmebakia kujibu hoja kwa Historia tu.
Njoo na Takwimu za Mc na mi nilete za Ndindi Hizo big games imekuwa ni kawaida yenu kukamia na huwa sio performance ya mchezaji mmoja ni ya timu nzima Big games zote mlizocheza timu nzima iliperform.
Punguza maneno subiri uangukiwe na kitu kizito jumapili...kwaio timu yenu nzima ni scott ama?Sina haja ya kuja na takwimu za scott dogo anajiweza ndio maana aliwapoteza old traford katakati na wakina fabinho wenu mshukur game ijayo hayupo hata ile gemu mnakufa old trafotd 2-1 kwenye kiungo alikuwepo scott, matic na herrera sasa scott alipewa jukum la kulinda mabek hamna mlichofanya leo unakazia et upewe takwimu za scott wakat wakina ndid mnacheza neo kila uchwao mnawatawanya katikati
Kwanza mchezaj mzur hawez kubaki leicester city anabak kufanya nini? Vardy ni umr tu umembakisha pale
Wakina cante na mahrez wametoka pale mchezaj mzur hanak leicester city vilabu vitano duniani haviwez kumuacha
Narudia mshukur Mungu scott hayupo game ijayo mech itakuwa rahisi sana kwenu lakin tungeongea vingine hapa
Nafikir unakumbuka mech ya mwisho ya droo mlitoa mdomo sana lakin alichowafanya had mnatokea tunduni hamkuamini mimi huwa nawaangaliaga sana na post zenu tunasoma tunapuuza tunafaham nyie mnawachezaj wa kawaida sana lakin mnakocha mzur sana anawaandaa kisaikoloji na molari ndio maana mnapata matokeo timu inayopiga mpira wa maana had muda huu ndani ya england ni manchester city nyie wenyewe kuna mech mnakamia mnacheza hovyo tu bahat matokeo huwa upande wenu
Bruno fernandes bado tuManchester United expect at least 2 additions before January transfer window close
Sent using Jamii Forums mobile app
Na linaelekea mwisho bado tuna expect tu.Manchester United expect at least 2 additions before January transfer window close
Sent using Jamii Forums mobile app