Roho iniume kwa sababu ya mashoga .. ... you must be out of your mind! Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee njoo chacha uangalie kitale cha Gunners .... .... .
Man of the match: Javier Hernandez. The Mexican was at his lethal best in front of goal with two instinctive finishes and posed problems for Wigan all afternoon with his movement.
Goal of the match: Manchester United's second was a goal of pure class as Robin van Persie turned inside Ivan Ramis, leaving the Wigan defender on the floor, before curling a delightful right-footed finish past Ali Al Habsi.
Katika gemu ambazo ManU wamecheza HOVYO kabisa na kushinda nafikiri hii ndio inaongoza....wachezaji wazembe, hawajitumi (they are not aggresive at all)......wangejituma leo tungeona goli zaidi ya nane.....na kale katoto Chicharito ndio kabisaaa......bure na hovyo kabisa.......pamoja na kufunga magoli kalistahili kuchapwa viboko........