Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Haya bahna wakati wenu wa kujidai ndo huu.....(mmesota sana asee....mpaka kufika mlipo Leo....)
Liverpool......Kila siku nyie MNA matatizo na VAR kwani kuna nini?
 
Ama kweli mpira ni pesa ..
Sent using Iphone 11
 
To hell with him
Raiola: “It was just a normal negotiation and the player has chosen a different path. If they want to blame someone then, fine, blame me but the player is happy. He has made his choice and we went through a normal process.”

Sent using Iphone 11
 
Mkuu ni Daniel James, sio David..... Naona umekuwa ukimwita sana David James

David James unanikumbusha kipa wa Man City kipindi hicho

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha spelling nimekosea!


David James Wa Portsmouth na Man City kipindi hicho sikuwa naielewa England hasa suala la kipa yaani World Cup mna kipa anayedakia Portsmouth?

Akaja Shay Given.
 
Rojo amesogelea mlango wa kuondoka, biashara ya Smalling sidhani kama ni nzuri

Bado nina imani sana na huyu mwamba

Sent using Jamii Forums mobile app
chris smalling ameshatimiza miaka 30 ya kuzaliwa (umri si kigezo cha ubora) lakini sidhani kama atakuwa na jambo jipya atakalohitaji kutuonyesha pindi atakaporudi tena klabuni.
ed woodward anaivutia kasi hiyo hela mpaka ifikie paundi millioni 18-20 ndio amuachie huyo mfuga rasta.

tunaye tuanzebe anayetamani kupewa nafasi kwenye kikosi cha kwanza, kwa nini tumuwazie mwanadamu aliyekwisha feli kwa takribani miaka 8 ya uchezaji soka.
 
Waliokuwa wabishi kwamba ligi ya England is an easy football league amuulize pep mzee pep mbinu zake ya urithi ziko wapi. Thia timw atakimbia league akitafuta kisingizio
 
Niwanong'oneze kilicho wapata majirani kule dimbani molineux


Sent using my Audi A6
2017 model
Ninawasiwasi morinyo ataikimbia spur mapema, au kutimuliwa aaibike waziwazi. Ni timu ambayo haiwezekani ikafanya japo vzr kama alivyofanyakazi, man utd na Chelsea.

Factor kubwa mbili.
Mosi.uwezo kifedha, spur haina ubavu kutoa fungu
Pili, spur inachezea nguvu ya soda. Man utd akiondoka Pogba Leo naona timu ndiyo inacheza kwa ari,akiwepo wanamujofia sijui?? Yaani anacheza lkn hana pressure,kinachosaidia right now fred na MacTommary wote wanapressure.
 
Kicha kama atamkingia kifua pobga ajue kazima awepo mchezaji kama madson,ili aweke formation itakayomua accommodate pogba acheze kama pambo, madson mbele ya fred na MacTommary. Akibadili formation atamudu kuifanya timu iwe na pressure ya madson kitu kilichokosekana hasa tunapocheza watoto wakina Everton wanapotuzidi. Wakina wolves wanatushindia pressure tu. Pogba anatavia ya ku lower pressure. Pofba hawez kucheza na wachezaji wanaohitaji pressure na kuonyesha creativity zao,anataka aonyeshe ya kwake tu.

Analower pressure kwa wapinzani. Inapotokea timu inazidiwa hawez kufanya kitu as long as yupo alone. Morinyo alimuambia ni kirusi kwa sabb hana tabia ya kukutengenezea, isipokiwa anakutishia kuwa yeye ndiye yeye. So wakicheza wanahofu kuwa lazina wampigie pass mchezaji analazimisha mpira upitie kwa pofba. Yaani nakereka sana
 
VAR Fc
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…