Nimefurahi Martial kafunga lakini nilichofurahi zaidi ni kumuona amepiga Tackle hahaa hili ni tukio adimu kuliona kwa bwana huyu mathalani mara moja kwa msimu mzima.
Greenwood macho yangu yapo kwake yupo very calm hana papara anajiamini.
Angalau leo naweza kulala vizuri maana hali si hali kushabikia hii timu sasa hivi na mapenzi hayaishi yanazidi.