Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Piga Chelsea
Piga Leicester
Piga Spurs
Piga Man City

But linapokuja suala la Underdogs unaweza kusema hii ni Mtibwa Sugar sio Manchester.

Ole kaijengea Man United 'Small Team Mentality' that is Kukamia mechi kubwa na kupoteza Kuwa wadogo.

Hawana tofauti na Irene Uwoya, anawakazia wanaume anaenda kumpa Dogo Janja.
 
Tutafika tu wana GGM, Natamani nipate mtu aliyekuwepo miaka ya 1986-1992 wakati Ferguson anapitia kipindi kigumu kama cha sasa, atupe uzoefu wa kuyavumilia haya ya sasa, maana mashabiki wengi hawana uzoefu na hiki tunachokipitia. Mind you, tuliwahi kupitia hali hii miaka hiyo but muda ulikuja tukafaidi matunda ya uvumilivu wetu kwa kipindi cha miaka 26. So timu inajengwa tena kuja kutawala tena kwa miaka mingi. GGM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Liverpool na Utd hazijawahi kuwa juu kwa wakati mmoja...... take that!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dogo hichi kipindi najua ukuwepo umeadisiwa ..tuulize sisi kaka zako


Enewei hii Man United choka mbaya huwezi fananisha na ya 92 uko ..

Mimi King Of London & England siwezi kufungwa na Everton alafu ninyi vijakazi wa hapo Manchester ushinde


Timu yeyote iliyomfunga Chelsea lazima itawatoboa tu..

Kila la kheri Chelsea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulipofungwa na Madrid UEFA mliongea hivihivi ,Tulipoukosa ubingwa last season mlisema haya maneno unayoyasema wewe leo Liverpool hatutaruda nyuma tena timu imeshakaa kwenye Elite Brother.
Acha kujisumbua.
 
Izo rashford na lingard takataka amna kitu apo ...zinakamia timu kubwa tu kama hazina akili ..uza nunua straika kaliba ya Tammy na wings zenye njaa kama pulisic enjoy mpira mzuri na magoli...

Uyo rashid atoboi goli 15nimesema

N.B: EPL tu..

Kila.la kheri Chelsea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zile mechi kubwa walikuwa wanapigania jina ila wanapocheza na timu ndogo ndio huonyesha uwezo wao halisi.
Piga Chelsea
Piga Leicester
Piga Spurs
Piga Man City

But linapokuja suala la Underdogs unaweza kusema hii ni Mtibwa Sugar sio Manchester.

Ole kaijengea Man United 'Small Team Mentality' that is Kukamia mechi kubwa na kupoteza Kuwa wadogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana na wewe mkuu but utawala naozungumzia siyo ule wa kuchukua makombe back to back tu ni pamoja nakurejeshesha ile heshima ya kuwa title contenders wenye hatari katika mashindano yote, kitu ambacho kwasasa tumekipoteza, thus why hata top 4 sasa inakuwa ni mtihani kwetu wakati kipindi hicho ukikosa kombe top 4 ilikuwa given wala haikuwa ikitufikirisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka mkubwa, ni kweli nilikuwa bado mchanga sana ndiyo maana nikasema hapo mwanzo wa Sentence kuwa natamani tupate shabiki wa United aliyekuwapo wakati huo akifatilia ligi hiyo, atupe uzoefu namna gani waliweza vumilia hali hiyo mpaka kikafikia kipindi cha mafanikio, maana mashabiki wa leo naona uvumilivu kwao inakuwa ngumu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe City alitupiga
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Martial is not good enough
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…