Leo lakin Dean kawa na akili. Ingekuwa Web lazima angebaki na decision ya linesman!
Umeona ehh ...
Kufungwa na hizo timu haina maana kuwa ndo wapinzani wetu kwa hatuna tunachogombania nao. Man Utd inagombania ubingwa wakati hizo timu including u mnagombania top four position na si ubingwa
mkuu tusubiri mpaka mwisho itakuwaje
Ingekuwa..ingekuwa za nini tena? Kama ile own goal wangekuwa wamepewa Man U katika incidence kama ile,mngesema ni offside bila hata aibu hapa..keep ur mouths shut hombres.
Fergie anajidhalilisha sasa mambo gani anafanya pale na marefa?
Wazee wa come back sio.. Hehehehe
Uliona swali au umekurupuka? Wacha kuweweseka!