Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yeyote atakayeshinda leo kati ya liver na Man mimi nitampongeza ..ila kwa sasa niko upande wenu wakuu ..fanyeni kweli chinjeni zile kuku kwa chupa ..ningemshauri Ole amcheki Mourihno ampe mambinu ya kukaba zaidi na kushambulia kwa kishtukiza ..awa liver ni walaini sana wanafungika tu tena mna Bissaka apo back kwa nin Rashid asitambe. Niwaambie tu ukweli ..Man united ndo timu yeny ukuta mgumu zaidi EPL ..kama mkifanikiwa kumkamata Mane basi yule firminyo na salah amna kitu mule
..apo kati niwekeeni mtu mzima Matic na Mctomarry Fred apande mbele kidogo ili kusukuma mashambulizi. Masho kama kawa auwe winga ya kushoto kule liver kuna lovren ivyo utakua uchochoro, lingard na rashid wakisimama apo mbele mbona Adrian/Allison ataomba poo
apo sjamgusia Degea mikono buku hahaha ..yani naona leo liver akifa mbele yenu kabisa yule fabinyo keita amna kitu mule wanaruka ruka tu ..Dalot na Magwaya watawafanyia roho mbaya ..nipigieni izo Liverpool mapema tu within 20 minits muwe na at least goli mbili


Dah ichi nilichoandika apa naona kabisa kitakuwa ni kinyume chake


Kila la kheri Man united ..mkizingua nawakataa


Come on Man u
 
Sawa
 
Haka ka bwana mdogo kanafki sana..
 
Habari zenu Man U. Kila la kheri kwenu. Natamani mchune jogoo na maji ya baridi
 
Wapenzi wa dhati kabisa wa hili chama tutakuwa tunalisapoti kwa kuangalia kila game si kwa hii Tu Big Match zote sisi tupo tu

Na hatuombei mabaya kabisa timu haijalishi kama tunataka kocha atimuliwa au vinginevyo tunachotaka sisi ni ushindi tu mara nyingi tuwezavyo na kupambana kwa vijana wa United

GGMU
 
Umeongea vizuri kop... #ynwA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…