Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tulishakwambia kuhusu allegri ni udakudaku tu hukawa hausikii yaani kila posti unayoleta humu ya huyohuyo tu sasa kwanini tusikuchoke
 
Wengine wanapenda kutembelea majukwaa haya kuangalia baadhi ya maoni ya mashabiki kuhusu timu yao na jinsi gani ya kuimprove kwa maono yao basi nawewe jaribu hata siku moja kuja hata na ushauri ili tukuone wa tofauti kidogo, yani nyie kila siku mnaponda tu na kuongea porojo pamoja na kashfa kwanini watu wasiwachoke..badilika bob
 
Hahahahahahah.......Vitu vingine tusipangiane kwa sababu hatusaidiani kununua Bando,Kwanini tupangiaane namna ya kutumia mitandao,Tusipangiane maisha kila mmoja afanye anachoona ni sahihi kwake ........ Unataka ushauri wa Manchester United kwa mashabiki wa Arsenal au Liverpool hahahahahahahahah Jishaurianeni wenyewe huo muda wa kuwapa ushauri sisi hatuna.
 
Usiwapangie watu cha Ku comment
 
Hahahahahahahahahahahaha
 
Unapozungumzia maswala ya michezo tofauti na kuzungumzia mambo ya udaku kama yakina nandy na menina hili ni jukwaa na moja ya sifa ya jukwaa ukionekana unadeviate lazima ukumbushwe na kama unaona unapangiwa we anzisha uzi wako uone kama kuna mtu atakufatilia
 
Haujapangiwa cha kucomment umeelekezwa ustaarabu
Ustaarabu gani ? Kwanini usikanushe kama udaku ? Unaleta maneno ya shombo, mimi maneno machafu nayajua ,ila nimekustahi. ,sijaona sababu ya kukujibu maneno machafu au matusi.

Kwahiyo kaa mbali Mimi , kama huwezi kujenga hoja ,au kunipinga kwa hoja ,

Kwani ni uongo vyombo vikubwa vya habari havijatangaza kuwa Alegri anaelekea man u iwapo ole atatimuliwa akiambatana na mazdkuch na Chan emre ,

Kinachokufanya usinipinge kwa hoja hadi ulete maneno machafu ni kipi? Kama huwez kustahimili siukae kimya ..
 
Sasa kama ulishaambiwa ni udaku zaidi ya mara moja tena na zaidi ya mtu mmoja wewe ulikuwa unataka hoja gani hapo wakati ushaambiwa ni udaku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…