SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,803
- 25,442
Imenibidi nishangae kwamba shabiki wa Manchester anasema kiungo cha Liver ni takatakaHahahahahaha.......Fred,Pogba, Mc Tominay,Matic Lingard umeona hawa ndio midfield sasa? Hizi sio takataka....Henderson ni kiungo mbovu lakini kwa Manchester United hii hakuna wa kumpiga benchi,Mchezaji galasa kama FRED,LINGARD wanacheza Henderson je,Hata Origi ,Shaqiri wakija United panga pangua kikosi cha kwanza wamo.
Mkuu, uelewa, uelewa. Soma kwa makini alichoandika uliyem-quote. KaandikaRashid ..one goal per month
Nilisema 15 mkuu sio 11..
Wiki hii jumapili tuanenda kucheza mchezo wetu wa 9 inabaki 29 ktk hiyo 29 zitakuwepo points 87 za kupigania United anaweza poteza michezo 10 akashinda 10 na kudroo 9, total point 39 + 9 + 0(Liverpool) = 48 kama nitashuka daraja kwa points 48 itakuwa kituko sasa EPL timu zenye point kuanzia 50 kushuka huwa position ya 9 kama nitazikosa points 18 basi Championship naenda ila siwezi kwenda kwasabab WE'RE THE FAMOUS MAN UTD
Wengine wanasajili kina Mbappe, United wanasajili Veterans.Walete walete...
The Old Trafford club are confident of completing the capture of the Croatian forward in the January transfer window.
The Red Devils are confident that a transfer fee of £9 million (€10m/$11m) will be accepted by Juventus, who are desperate to sell the Croatian veteran.
Mandzukic is expected to sign an 18-month contract until the summer of 2021 and would earn a salary of £4.4m (€5m/$5.5m) a year.
Ngoja tufanye hesabu rahisi tu kutokana na unavyoona ushindi wa mechi 2 ktk 8 kma ni BIG DEAL sana.Mpaka sasa katika michezo 8 umeshinda miwili tu. Halafu unasema katika 29 eti utashinda 10. serious?
Origi hata Leeds hana namba mkuu, huyo ni kariba ya ObatenHahahahahaha.......Fred,Pogba, Mc Tominay,Matic Lingard umeona hawa ndio midfield sasa? Hizi sio takataka....Henderson ni kiungo mbovu lakini kwa Manchester United hii hakuna wa kumpiga benchi,Mchezaji galasa kama FRED,LINGARD wanacheza Henderson je,Hata Origi ,Shaqiri wakija United panga pangua kikosi cha kwanza wamo.
Champions league imeficha zote hizo takatakaOrigi hata Leeds hana namba mkuu, huyo ni kariba ya Obaten
Unajua ww unaendekeza ushabiki sana liverpool ipo vizur mbele ujue salah,mane na firmino wanafanya kazi nzur sana?Imenibidi nishangae kwamba shabiki wa Manchester anasema kiungo cha Liver ni takatakaasee, Fred, Perreira na Lingard wanampa kiburi.
Hapa sasa ndo utajua liverpool hamasa ya kocha ipo vizur fikiria hizo jamaa zenu zipo liverpool na wewe mwenyewe unajua ni wabovu umewataja sema wanajitahada kwetu yamezembea na hamasa hamnaHahahahahaha.......Fred,Pogba, Mc Tominay,Matic Lingard umeona hawa ndio midfield sasa? Hizi sio takataka....Henderson ni kiungo mbovu lakini kwa Manchester United hii hakuna wa kumpiga benchi,Mchezaji galasa kama FRED,LINGARD wanacheza Henderson je,Hata Origi ,Shaqiri wakija United panga pangua kikosi cha kwanza wamo.
Sijakataa. Ndo kusema nyie mna middle nzuri kuliko Liverpool? Haya leta stats hapa.Unajua ww unaendekeza ushabiki sana liverpool ipo vizur mbele ujue salah,mane na firmino wanafanya kazi nzur sana?
Unajua kuwa assist nyingi zinatengenezwa na bek zenu wa pembeni sio viungo wenu?
Sawa mze baba ..lakini rashid afikishi goli 15 ...kama ana funga goli moja kwa mweziMkuu, uelewa, uelewa. Soma kwa makini alichoandika uliyem-quote. Kaandika
La 4 hilo 11 to go.
Hakuna mahali nimesema nnaviungo vizurSijakataa. Ndo kusema nyie mna middle nzuri kuliko Liverpool? Haya leta stats hapa.
Origi na uyo Rashid Si afadhali Origi..!!Champions league imeficha zote hizo takataka