Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Utayageuka maneno yako..
Kila la kheri Chelsea

Hebu tufanye analysis kidogo.

Mbele unamtegemea Abraham na Mount pamoja na Willian watu wa kuwazuia ni VVD, MATIP na Fabinho watoto wanapenyaje, huku pembe za uwanja Alexander-Anorld na Robertson wanapepea na mipira beki zikihaha kuwakaba Mane, firmino au Salah wanakuwa free kuwatungua. Mkiwabana Wijnaljdun na wengine wanawavaa.

Nikikumbuka Newcastle Liverpool walivyokuwa wanakaba hata pa kutoa pasi huoni ni wapi inabidi usalimishe mpira.

Hahahaha pole Chelsea.


Manchester united moja, hope leo mbele kuwe na uhai japo kupunguza West ham kutukamia.
 
Hiki lazima kiwe kikosi bora kwako, maana kimekubugiza goli 4-0 pale OT
Pamoja na ubora wa iyo Manchester (achana na ya sasa) hukuwahi kunifunga zaid ya goli mbili...

Izo nne ni kama ulilipa tu ..

Lipa na zile 5-0 za 1999/20 ivi kama niko sawa...
 
Msimamo ni ule ule ..uyu rashid hafikishi goli 15..

Halafu kwani Barkely ni straika?
 
Mpira hauko ivyo ndugu..

Kwani Chelsea ni Nu Casto?

Tukutane baada ya Dakika tisini.

Ndo utajua Abraham na Mount walipenyaje..

Kila la kheri Chelsea
 
Kuna watu walikuwa wanasema Lukaku ni mbovu

Halafu wanaamini Martial na Rashy wanaweza kuwa mbadala


Sasa hivi watakuja kusema Seria A ni ligi nyepesi
Lukaku wa Man u alikuwa mbovu bana, sijui tunasahau haraka.

Nakumbuka Lukaku alikuwa anamaliza mechi karibia kumi bila kuziona nyavu.

Anaweza kuwa ni striker mzuri but alipokuwa Man u hakufikia expectations, huwezi ukawa na striker umemsajiri kwa karibu paundi million 80.
Halafu anashidwa kukupa angalau goli 20 za EPL au big matches anapoteana. Ni aibu.
 
Kocha mbovu. Formation mbovu.
 
akiwa Everton je??
 
Kuna shabiki mwenzako wa Chelsea aliletaga stori hizo za record za kufungana goli nyingi, nikamuanzia za miaka ya 1880's huko, akakimbia

Nishawahi kukupiga 6,kwa hiyo mkuu achana na kufukua makaburi

Pamoja na ubora wa iyo Manchester (achana na ya sasa) hukuwahi kunifunga zaid ya goli mbili...

Izo nne ni kama ulilipa tu ..

Lipa na zile 5-0 za 1999/20 ivi kama niko sawa...
 
Anacheza nafasi za mbele

Labda hukuelewa hoja yangu, hoja yangu sio kwamba mtu akiwa anapiga penati ndio ana uhakika wa kufunga magoli
Msimamo ni ule ule ..uyu rashid hafikishi goli 15..

Halafu kwani Barkely ni straika?
 
Mkuu Lukaku sio mbovu kama wengi wanavyotaka tuamini

Kumbuka Lukaku anatoka Toffees anakuja United, akiwa na goli 25

Akaanza msimu pale United akiwa na goli 16, hapa inabidi nikukumbushe timu nzima ili underperform sio Rom tu

Msimu wa mwisho amefunga goli 12. Hapa aliandamwa na majeruhi, lakini pia hakuaminiwa na kocha aliyepokea mikoba ya Jose achilia mbali mashabiki hawakum shaw love kabisa

Siku zote nimekuwa nikiwaambia watu, mbona Rom wa Ubelgiji anatupia magoli kama hana akili nzuri, mbona Rom aliyekuwa Westbrom na Everton alikuwa hatari, kwani alivyokuja United ndio tunamdharau? Sasa ameenda Inter anaendelea kuonesha kwamba yeye ni clinical kuliko hao akina Rashy na Tony.
 
Majibu tutayapata atakapokwenda timu nyingine. Maana hata lukaku mlikuwa mnasema mbovu, ila saiv mmebadilisha lugha mnasema serie A nyepesi.
 
Barcelona imefungwa hamna kelele kabisa, subiri MUFC ifungwe au isuluhu kelele zake.
Man u ni timu kubwa sana na wachezaji waliopo ni wachache sana ambao wanastahili kucheza hii timu. Sema saiv mmeaminishwa kwamba eti tuanzebe, chong, greenwood, lingard, young, rash, na maflop wengine, kwamba ni wachezaji wazuri na wakati hawastahili kabisa kuchezea timu yetu. Ndio maana saiv timu imekuwa ya kawaida.
 
Sasa waliopo saiv ninani atakupa goli 20?
Tunapomtetea lukaku tunamaanisha kwamba kama mtu anamuuza lukaku basi asajiri striker mwenye uwezo mkubwa zaidi ya uwezo wa lukanyavu.
Sasa kocha wenu kamtoa lukaku kwa kumtegemea rashford, does it make sense?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…