Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Wanajumlisha na yale ya ngazi za club ya dunia kama sijakosea
 
Mpira una maajabu Yake! Lesta kafungwa na Man United, Lakini leo yeye Kamfunga Spurs, Halfu Spurs anakuja Kumfunga aliyemfunga Man United, Then Man United alimfunga Chelsea, Halafu Chelsea anakuja Kumfunga aliyemfunga Man United.

Halafu Mshabiki wa Mpira anakuja kusema Timu flani imefungwa na Timu Fulani! Kwahiyo nasisi tutawafunga.
 
Kuna watu wanadhani mpira ni kama hesabu, kwamba 2+2=4

Na hii ndio inayomfanya "Muhindi" aendelee kutajirika
 
Hao mashabiki sijui wanakulaga maharagwe ya wapi??

Mfano huyo Leicester alimkazia Chelsea wakatoka sare,basi mashabiki wa Chelsea wakaanza kuturusha humu kuwa tutakiona cha mtema kuni tutakapokutana na Leicester,Lakini hakuna cha maana alichokifanya sana
 
tottenham hotspurs kabla hajakutana na arsenal baadhi ya vyombo vya habari waliandika taarifa hii kwa kutumia vichwa vya habari tofauti:
=====>> Only two teams have been worse than Tottenham in the Premier League over the last 15 games.

======>> ARSENAL fans have been taunting Tottenham over their "relegation form" - with Mauricio Pochettino's side picking up just 15 points from their last 15 games and One disgruntled Gooner wrote: "Pochettino hasn't won an away game since January. He's also just won 4 matches in his last 15.

=======>> Since Mauricio Pochettino took charge ahead of the 2014-15 season, Spurs have only won three of their 27 Premier League away games against fellow "big six" opponents (W3 D9 L15). Shortfall. From a total of 81 points on offer, he has only taken 18.

arsenal 2 vs Tottenham hotspurs 2
tottenham 4 vs crystal palace 0
leicester city 2 vs tottenham hotspurs 1.​
mechi 18 za mwisho za ligi kuu ya uingereza klabu ya tottenham wamepata pointi 19 tu.
je pochettino amechoka kifikra na kimwili?
je wachezaji wamechoka kifikra na kimwili?
kwa takwimu hizi kwa mtazamo wako wewe msomaji unadhani jamaa ni mtu sahihi kufundisha manchester united hi ya ed woodward?
 
Bado aisee,sitomuhitaji pale OT..nahisi kuna kitu anamiss.

Spurs wamekuwa na kikosi kizuri kwelikweli lakini hawana kitu chochote so far..na hata UCL walipita robo na nusu fainali kibahati sana na sio ubora.
 
Unapoona City kapigwa, kama ni timu yako inacheza nao next game omba iahirishwe tu


6-0 dakika ya 50

Ila hata mwaka jana hawa jamaa walikula 7 mechi ya FA
tulikuwa na uwezo wa kuwafunga astana magoli 5 mechi ya juzi.
ila ndio hivyo tumekuwa wazee wa back pass na wide pass nyingi.
ukiziangalia zile movement za angel gomez unabaki kusikitika kwa nini dogo amezaliwa uingereza na kwa nini anacheza timu isiyoamini njia ya katikati inapotengeneza mashambulizi.
 
Na striker yetu ndio hiyo tena
 
Unapoona City kapigwa, kama ni timu yako inacheza nao next game omba iahirishwe tu


6-0 dakika ya 50

Ila hata mwaka jana hawa jamaa walikula 7 mechi ya FA
City ni moto.

Kuna wachezaji hawana nyota ya kuzungumzwa au kukuzwa, Pogba angekuwa na hata nusu ya kiwango cha KDB dunia ya wanasoka ingesimama kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…