Kati ya game 5 tumepata penati game 4. Tumefunga penati 2 na kukosa 2. Hii inaonyesha hatupotezi mechi kwa kukosa bahati, bahati ipo ila kuna mambo ya hovyo kwa kocha na wachezaji.
Tumeshinda, point 3 muhimu tumepata. Ushindi ni ushindi tu ila haujaleta furaha, kwakuwa haujatupatia natumaini ya baadae kwasababu performance ni mbovu mno. Huu mwaka mchungu sana.
Tumeshinda, point 3 muhimu tumepata. Ushindi ni ushindi tu ila haujaleta furaha, kwakuwa haujatupatia natumaini ya baadae kwasababu performance ni mbovu mno. Huu mwaka mchungu sana.
Kuna mechi tumecheza vizuri na hatukupata point 3 na mechi tumecheza vibaya tumepata point 3. Ushindi muhimu Sana huu hasa kuongeza morali ya wachezaji. Tumeshaingia top 4.