Manchester United (Red Devils) | Special Thread


DeGea hana makosa sababu ya kwanza kusaini ni hiyari sio lazima then sababu ya pili Man Utd kwa kuweka mbele uzawa major honours kama EPL na UCL sahau kwa dunia ya leo.

Mchezaji kuwa unacheza tu miaka inasogea kwenye umri ambao sio wa mpira haiingii akilini, mchezaji anaejitambua atataka timu ya kushinda makombe makubwa

Jan Oblak licha ya kupewa mshahara wa pauni zaidi ya 180,000 aliliweka hadharani kwamba Atletico ambitions has to match his ambitions la si hivyo anaondoka

Manchester City na Chelsea wanafanikiwa sababu sio Club za kuweka uzawa mbele, sasa ubaki kwenye timu ambayo inataka wazawa halafu wazawa wenyewe kina Lingard na Rashford
 
Kwetu hatuna mechi ndogo..kila mechi ni kubwa.

Na ngoma ya leo ndo ngumu kabisa..hawa Leicester hawachelewi kutuzingua

GGMU
 
Binafsi ninamatumaini makubwa kuwa mechi hii unashindwa vizuri tu. Pamoja na record mbaya ya mechi 3 zilizopita, pamoja na majeruhi wengi, sasa ni ushindi tu. Am very optimistic
 
Binafsi ninamatumaini makubwa kuwa mechi hii unashindwa vizuri tu. Pamoja na record mbaya ya mechi 3 zilizopita, pamoja na majeruhi wengi, sasa ni ushindi tu. Am very optimistic
Tuombe iwe hivyo..maana tukipoteza tena points tutapoteana kabisa..
 
Rodgers anatupiga Leo. Kuna dalili zote zipo wazi kupigwa unless itokee miracle au bahati.
We have become a very weak side no consistency, no plan B, no ambition and jihad minded players, timu imekata ringi kwa lugha ingine.
Ila tuombe rebuilding ya timu ifanikiwe maana naona OGS akitimuliwa mapema sana hii form ya kupiga ikiendelea tena na tukiwa position mbovu ( nje ya top 4)

GGMU
 
ondoa khofu brother mechi ya leo tunashinda kuliko CCM.​
rashford a.k.a rashidi wa pemba ndiye anayesababisha mechi zetu ziwe ngumu mara kwa mara kwa sababu hana consistence form ya kiuchezaji.
 
Hata mimi ningekuwa mchezaji wa MUFC kwa kipindi hiki ningeondoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…