Charlie chaplin
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 336
- 314
Game ya Arsenal na spur imenifanya niwaze timu yangu sana. Yaani sisi msimu huu ndugu yetu ni Chelsea tu maana wote hatujielewi tunafanyaje nn uwanjani.
Pata picha tukikutana na Arsenal au Spurs na hao viungo wao tutapona kweli bado city na liver si tutapigwa hadi tuchakae.
OGS unafanya kazi nzuri ila kuna makosa ambayo yatamtafuna msimu huu wote na pengine yataweza sababisha kibarua chake kuota nyasi kwann Lukaku na Herrera hawajawa replaced hii zaidi ya dhambi na ukatili ametufanyia ss wapenzi wa Mpira na united fans kwa ujumla.
Tuanzebe ana uwezo kuliko huyo Rudiger, ana brain ya Lindelof halafu ana pace ya Smalling
Pia ni mzuri kwenye mipira ya, muda sio mrefu Lindelof atakuwa chaguo la 3 kwa mabeki wa kati
Lakini huyo Rudiger namuona ni kama Bailly flani hivi, juhudi nyingi akili chache
Spurs alipotea katikati
Tammy anawafunga waliopanda daraja ,kina wolves ,Everton atawaweza?Kwenye gemu nne Tammy ana goli Nne ..Rashid ana goli ngapi?? Tuanzie apo
Kila la kheri Chelsea
Sasa mkuu Rudiger nani anamueka bench apo man U? Bissaka na Rudiger wanatofauti gani? Willian nan anamueka benchi kwa sasa apo Man u? Tuache unazi mkuu..Willian yupo fit, Kante ameshacheza akaumia tena, Rudiger ni afadhali hata Ninja wa Yanga. Huyo mwingine hata kumtaja jina kupoteza wino wa JF
Kutaja wachezaji ambao hawapo ni style za kizamani
Timu yenu ina wachezaji zaidi ya 23
Apo Chelsea itoe ..sisi ni matatizo madogo madogo tu ya kuweka sawa ..mpka desemba tutaweza kuwa nafasi ya pili au ata kuongoza ligi kabisa..Tukubar kwamba chelsea. Man u na asernal zote ni mbovu kwa sasa sema tukishinda kigemu kimoja wote tujigamba tuko vizur timu zote zinaitaj reform na reshufle ya maana
Zile goli za jana ni za uwezo binafsi wa Tammy ..Rashid angeweza kufunga vile??Angalau arsenal ushambuliz wao
Ni uhakika kupata goli
Jana ukiangalia zile goli za chelsea walizopata utacheka ufe za hovyo hovyo tu timu makini huwez kukutana ule uzembe wa bek
Arsenal mpira wanaocheza una mipango hata goli zao zinaonekana ila manchester united na chelsea ushambuliz na utengenezaj nafas za kufunga hovyo sana
Angalau umeandika kiuchezaji kabisa.Mkuu ila Rudiger ni bek mzur kwa timu yetu hamna wa kumuweka bench kile ki lindelof hata nusu ya rudiger hafik achilia mbali ki shaw na young
Timu yetu ina bek wawili tu maguire na bissaka nasubir kumuona tuanzebe akipata natasi waliobaki ni takataka
Uchafu??? Tukiwapa Willian kwa sasa ivi ci anaingia moja kwa moja first XI ya Ole!! Willian anazeeka na mpira wake, ngoja awe fiti vizuri utaona umuhimu wake..Wachezaj hapo ni Rudiger na kante waliobak ni uchafu willian zile nywele zinasababisha spid ya mbio kupungua upepo una mvuta ile ni new version ya fellain
Hahahaha Tuanzebe bench woma unamfamanisha na beki ambaye anaweza kuwa na namba ya kudumu kwenye club yeyote ile apo England!! Rudiger akija apo OT nani wa kumuweka bench?? Tuanzebe?? hahaha huu sasa ni unaziTuanzebe ana uwezo kuliko huyo Rudiger, ana brain ya Lindelof halafu ana pace ya Smalling
Pia ni mzuri kwenye mipira ya, muda sio mrefu Lindelof atakuwa chaguo la 3 kwa mabeki wa kati
Lakini huyo Rudiger namuona ni kama Bailly flani hivi, juhudi nyingi akili chache
Sisi Chelsea hatuwezi kuwa ndugu zenu maana sisi hatujafanya usajili wowote ule na Bado tuna potential ya kukimbiza tu kuliko ninyi ..Game ya Arsenal na spur imenifanya niwaze timu yangu sana. Yaani sisi msimu huu ndugu yetu ni Chelsea tu maana wote hatujielewi tunafanyaje nn uwanjani.
Pata picha tukikutana na Arsenal au Spurs na hao viungo wao tutapona kweli bado city na liver si tutapigwa hadi tuchakae.
OGS unafanya kazi nzuri ila kuna makosa ambayo yatamtafuna msimu huu wote na pengine yataweza sababisha kibarua chake kuota nyasi kwann Lukaku na Herrera hawajawa replaced hii zaidi ya dhambi na ukatili ametufanyia ss wapenzi wa Mpira na united fans kwa ujumla.
Hata arsenal tu kuna uwakika sio chini ya goli mbili..Tammy anawafunga waliopanda daraja ,kina wolves ,Everton atawaweza?
@Ollachuga Oc unazingua ujue ....hahahhaaHata arsenal tu kuna uwakika sio chini ya goli mbili..
Tammy na Auba wana tofauti gani???
Kila la kheri Chelsea
Mpaka sasa Sajiri za man u zipo vzr , wawe wavumilivu waendelee kuondoa deadwoods taratibu na kuleta upgrades ,Sisi Chelsea hatuwezi kuwa ndugu zenu maana sisi hatujafanya usajili wowote ule na Bado tuna potential ya kukimbiza tu kuliko ninyi ..
Mkuu unataka kisema usajili wa Bissaka na Maguire tumepigwa